Hatutaki uongo Demiss ujue.Nimeshamkula kama chipsy kuku nisimwage tu mambo hadharani maana kuna visokolokwinyooo vitazimia
Kichwani ndio penyewe, kila wakati nakuwaza na kila mtu atakuona piaKhaa wanifanya ni kaabee watu now kichwani tena kama debe la lubisi au
Hapa kumwagwa ni once in a.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza jiona una mkosi. Mi bwana niweke kwenye mtandao watu wanijue napenda. Huko moyoni nitajuaje kwanza kama nipo au sipo? Bora hadharani wajue huyu ndo mwenzetu tunashare nae wajianda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli, anastahili kuufurahisha moyo wake.
Kuna siku rafiki yangu aliwekwa DP, kuingia Facebook kakuta huko kawekwa mdada mwingine,kwenda insta.kakuta mambo mubashara na mdada mwigine tena.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna wanaume wana list bana anafikilia tu sijui nitamuweka nani kwa dp nimwache naniWalikua wanauliza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtoe mtoe wakajua ndo mke mwenzao tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hata me nahisi jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nimwambie shemela akuweke DP fasta, maana napenda kukuona ukifurahi.[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza jiona una mkosi. Mi bwana niweke kwenye mtandao watu wanijue napenda. Huko moyoni nitajuaje kwanza kama nipo au sipo? Bora hadharani wajue huyu ndo mwenzetu tunashare nae wajianda [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Nimekuham mwanakwetuKichwani ndio penyewe, kila wakati nakuwaza na kila mtu atakuona pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mi bf namuweka dp kiroho safi hataa wake wenzangu wakiona poa tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna wanaume wana list bana anafikilia tu sijui nitamuweka nani kwa dp nimwache nani
Asee huyo atakuwa na bahati yake..[emoji12]Kichwani ndio penyewe, kila wakati nakuwaza na kila mtu atakuona pia
Nimekuham zaidi best!Nimekuham mwanakwetu
Salimia walinzi muda ukifika
Vipi na wewe nikuweke? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Asee huyo atakuwa na bahati yake..[emoji12]
Saa nyingine sio list Shunie..naweza muweka mtu matokeo yake unaanza kuwindwa. Bora kuepusha shari[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna wanaume wana list bana anafikilia tu sijui nitamuweka nani kwa dp nimwache nani
Poa suzyHuyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Achaa tu mmy manake hata humu ni kwa mbinde majukum c unajua kilimo kwanza au [emoji15]Nimekuham zaidi best!
Ujege kutusalimia siku moja moja, au ndio busy na majukumu maana mvua hizi si mchezo....ndio muda wa kupanda[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poa Mzigua90Siitwi Suzan bwana.