Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli, anastahili kuufurahisha moyo wake.

Kuna siku rafiki yangu aliwekwa DP, kuingia Facebook kakuta huko kawekwa mdada mwingine,kwenda insta.kakuta mambo mubashara na mdada mwigine tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza jiona una mkosi. Mi bwana niweke kwenye mtandao watu wanijue napenda. Huko moyoni nitajuaje kwanza kama nipo au sipo? Bora hadharani wajue huyu ndo mwenzetu tunashare nae wajianda [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Walikua wanauliza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtoe mtoe wakajua ndo mke mwenzao tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna wanaume wana list bana anafikilia tu sijui nitamuweka nani kwa dp nimwache nani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza jiona una mkosi. Mi bwana niweke kwenye mtandao watu wanijue napenda. Huko moyoni nitajuaje kwanza kama nipo au sipo? Bora hadharani wajue huyu ndo mwenzetu tunashare nae wajianda [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja nimwambie shemela akuweke DP fasta, maana napenda kukuona ukifurahi.[emoji12]
 
Nimekuham zaidi best!
Ujege kutusalimia siku moja moja, au ndio busy na majukumu maana mvua hizi si mchezo....ndio muda wa kupanda[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Achaa tu mmy manake hata humu ni kwa mbinde majukum c unajua kilimo kwanza au [emoji15]
 
Back
Top Bottom