Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Hapo sawa. Actually hiyo S...n sio official name yangu. Kuna mtu huwa anaandika hilo jina humu kwenye comments basi tu hamjawahi ona.
Hahaha.... Ipo siku tu tutakubamba, kwasasa endelea ku enjoy status ya mtu asiyejulikana
 
Kila la kheri mwanakwetu, lima kwanza ila usisahau kumweka umpendae DP ili uifurajishe nafsi yake.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Thanx ila na uzee huu kweli Dp n wajomba zako tuu kwa kweli
 
Hahaha.... Ipo siku tu tutakubamba, kwasasa endelea ku enjoy status ya mtu asiyejulikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mkinibamba hamtanijua. Maana hiyo a.k.a tunaitumia watu wawili tu.
 
Na bora ilikushinda maana wangekuweka wengi mpaka uchanganyikiwe badala ya kufurahi. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Nakusabahi my dear!
Ahahahaaaaaa acha kabisa mydear
Kuwekana dp ni kuharibiana tuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Mekumithiii [emoji85]
Vipi unaendeleaje lakini?
 
Ahahahaaaaaa acha kabisa mydear
Kuwekana dp ni kuharibiana tuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Mekumithiii [emoji85]
Vipi unaendeleaje lakini?
Namshukuru Mungu sijambo!

Kuna bundi mmoja kaahidi kuniweka dp hivyo moyo wangu kwatu kabisa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Yes dear. Umeshafika mjini? Nataka nije nikukande mgongo maaba utakua umechoka sana
Huyo mkaka ulisomaga uzi wake wa mtu anatumia avatar ya mpenzi wake kumbe eti nilikuwa mm niliweka picha ya yule iryn wa mondi khaa sasa picha ya iryn anakuja kuanzishia thread na zimejaa insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…