Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Ahahahaaaaaa mydear sio kila anayekuweka dp anakupenda, mwingine analengo la kukuharibia [emoji26].

So ili tusiharibiane hakuna kuwekana kila mtu apambane na hali yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zako kuharibiana huko vipiiiii
 
Hongereni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenimaliza.
 
Hahahahaa.
 
Kama mimi kweli aliharibu kweli maana na chuki zikaja [emoji52]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenimaliza.
Mpe mpe msukuma wa watu[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zako kuharibiana huko vipiiiii
Shunie hiki kitu nasema ila kina ukweli ndani yake ukilitazama kwa jicho la tatu.

Kuna mtu upo nae anafake kukupenda balaa at the same time kuna mtu anakupenda kiukweli anashinda kwenye nyumba za ibada kusudi tuu uwe mwanamke wa maisha yake wewe unazuzuka na dp ya tapeli kumbe jamaa linakufanya zezeta ili likukule vizuri ili hali halina mpango na wewe si ujinga huo,
Yule mwenye mapenzi ya dhati anavunjika moyo.

Aiseeh tukulane kwa starehe tuu tusidanganyane na kuzibiana riziki [emoji4][emoji4][emoji4].

NB ; hayo mambo tuwaachie wenzetu weupe, sisi weusi tumekuzwa na hali ya usiri mambo ya matangazo mpaka iwe OFFICIAL
 
Jaman poleni me nipo ndoani yaan nawekwa kama kawaida kama naiona michepuko huko ikinunua [emoji3][emoji3] jaman nawaombea mkuje kuolewa mje kuwekwa na mashemeji waliowaoa
 
Hao waliowaoa ndo wanatusumbua sisi wanatupenda wakati wamewaweka nyie dp. Kinachoweza kufanyika kifanyike tu bwana kama dp au moyoni haina noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…