Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Sheeenzi. Utakuta unamwambiaga mzigua mwenyewe kibonge [emoji23][emoji23][emoji23]
Walaa.
Mimi na huyo tunataniana tu bwana.

Huoni hata hakasiriki.
Anajua namzingua. Huyo ni bonge la sista du la kimasai . Hatari. Ngoja niishie hapa watu wasije wakaanza kukomaa nae mtoto wa watu decent
 
ce44a896089ecbb18cfc4182822285cf.jpg
nanuona Ivuga wenzake wanasukuma gari yeye anasukuma wesere
 
Back
Top Bottom