Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa.Ila muwabakizie nauli za treni.Maana ninyi watoto wa mjini hamna maana.Mtawapukutisha had I waseme "...Youuuwi maaama"..Waacheni shemeni zenu
Labda wote mpo kwenye heatMie na Mama Sabrina ni identical twins
"...Baby nakusubiri urudi TUENDELEE ...." Hiyo "tuendelee" sijui ni safari .... yaaniHuyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Embu iwele hyo pcha tuioneHuyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Yaani kwa hiyo "avatar" watapagawa wengiiiiiiiiiiiiiii .... mie macho yake tu buana ... kwingine niwaachie wenye MENO ...Njoo bwana
Hizi. I tabia za yule jamaa mkenya Daby.nanuona Ivuga wenzake wanasukuma gari yeye anasukuma wesere![]()
Vipapatio hahaaa !
Wivu nimeona mie! 😱Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
Niliona umemuweka kiuno cha nyigu babuMimi ni Ngabu tu.
Mshamba flani toka Ikungulyabashashi, Simiyu huko[emoji23][emoji23][emoji1].
Mmmh! Wala sitaki kuamini macho yangu...😀😀😀Ni uzi wako mpenzi.
Miss, njoo uone kidume ninavyodanganywa hukuu 😛Niliona umemuweka kiuno cha nyigu babu