Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Wanawake bwana... kweli mwalimu wao kipofu... yaani mnashindwa kuzuia hisia zenu kwa vitu vidogo sana... eti ameweka pc yako tu ndio umekifa umeoza... daaaah!
 
Ungekua mwanamke ungeelewa vitu vyenu vidogo mnavyofanya wanaume vinavyodatisha.
Mi hata ukinishika mkono mbele za watu nakupenda. Sisi tunapenda bila sababu ya maana. Mimi huyu kaniweka tu dp nimempenda mara 100000
 
Inna bora wamemla kichwa. Alikua anachefua sana
Ana id nyingine huyo akipigwa ban huku anaamia kule inaitwa the list comment zake ni ...idiot,rubbish,wasted sperm,msukule....hahahaa me namwonaga kama katoroka milembe
 
Kumbe ndo yeye eeeh.
 
Back
Top Bottom