Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaala tena we sema tu km umemaind uone nnavyokuwa mdogo km piritonMpole ila mchokozi.
Ila uzuri wako ww hauna hacra za ovyo labda mpaka mtu akushike sehemu flani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa
Nashkuru kwa kusema ukweli inaonekana ww ni "mpendwa"Sinaga kweli mpaka mtu anifike hapaaa
Ungekua mwanamke ungeelewa vitu vyenu vidogo mnavyofanya wanaume vinavyodatisha.Wanawake bwana... kweli mwalimu wao kipofu... yaani mnashindwa kuzuia hisia zenu kwa vitu vidogo sana... eti ameweka pc yako tu ndio umekifa umeoza... daaaah!
Yaaap huon comment zinaendanaKumbe ndo yeye eeeh.
Sio woga nilikuwa nafanya timing [emoji12] [emoji13] [emoji2] [emoji14]Woga huo sasa
Sawa baby
Sawa baby
Missing you baby
Hii kitu siwezi kabisa. Kuweka picha ya mwanamke DP!Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
huyo kaka anabahati sana ,asiachie hii chanelHuyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n