Huyu kaka ananifanya nifall in Love

Huyu kaka ananifanya nifall in Love

[emoji57][emoji57][emoji57] aarrghh chokaaa watu wanajua jf humu wengine visichana tunaishi na wazazi usikute hata umri nimempita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutakukaribisha for 3some Cc Nyani Ngabu

Threesome? Aisee umenikumbusha kitu. Kuna mtu mmoja hivi naye alitaka hiyo makitu. Alitaka niwe mimi na yeye pamoja na mchuchu mwingine. Nilishangaa kweli. Halafu nikajiuliza kama ni lesbian au bisexual.

Ukipata muda nitafute nikupe lowdown....hahahahaaa.

Dunia ina mambo hii!!
 
Ni kweli lakini hakuna kitu kama hicho hata yeye anaweza akasema. Tatizo haaaminiki [emoji23][emoji23][emoji23]

Siaminiki nini tena? Mi si ndo Julius au? Teh teh teh

Kuna mtu alinijia PM anajifanya ananijua nikamwuliza ushawahi kukiona cheti changu cha ubatizo? Ushawahi kukiona cheti changu cha kuzaliwa? Ushawahi kuiona passport yangu? Ushawahi kuona kitambulisho changu cha aina yoyote ile?

Akanywea kama kuku aliyenyeshewa mvua. Hajarudi tena!
 
Threesome? Aisee umenikumbusha kitu. Kuna mtu mmoja hivi naye alitaka hiyo makitu. Alitaka niwe mimi na yeye pamoja na mchuchu mwingine. Nilishangaa kweli. Halafu nikajiuliza kama ni lesbian au bisexual.

Ukipata muda nitafute nikupe lowdown....hahahahaaa.

Dunia ina mambo hii!!
Kama ulishamkula huyo mchuchu atakua bisexual tu. Ungemkubalia na wewe uone show ya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nakujia sasa hivi nicheke [emoji23][emoji23]
 
Siaminiki nini tena? Mi si ndo Julius au? Teh teh teh

Kuna mtu alinijia PM anajifanya ananijua nikamwuliza ushawahi kukiona cheti changu cha ubatizo? Ushawahi kukiona cheti changu cha kuzaliwa? Ushawahi kuiona passport yangu? Ushawahi kuona kitambulisho changu cha aina yoyote ile?

Akanywea kama kuku aliyenyeshewa mvua. Hajarudi tena!
Hahahaa.. maswali yote hayo hata mimi ningeondoka hiyo pm. Bwana Julius unajua we sukari yetu sasa ukionekana tu unachebana na mdada wanajua tayari keshaliwa mtu. Wakati mi nakusubiria August tumalize kila kitu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ulishamkula huyo mchuchu atakua bisexual tu. Ungemkubalia na wewe uone show ya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nakujia sasa hivi nicheke [emoji23][emoji23]

Nimekoma kuokoteza hovyo!

Sasa hivi nakuwa mlevi wa 7UP tu!!!!
 
Back
Top Bottom