Huyu kaka kabila la Mkurya alinishangaza!!!!

Huyu kaka kabila la Mkurya alinishangaza!!!!

mmmh!!!! Cute hapana bwana, huyo ndio wale ambao akikuhisi unamchiti anaweza kuchukua mkaa akakubandika hukoooo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anaubandika wapi eti.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitamchit nitampendajee?? Hebu nifanyie mpango wa namba bhana
hahahahah, ngoja nimuulize mheshimiwa Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga kama anaweza kukupenyeza kwenye moyo wake. 😀😀😀😀😀
 
Wengine ukimuhusisha mama yake ni dharau kubwa sana kwao wanaweza kuua
Ni kweli hata mimi nikitukaniwa mama yangu huwa naumia sana (RIP my mama) lakini sio kwa kiwango cha juu hivyo mkuu Somboko!!!
 
Ni kweli hata mimi nikitukaniwa mama yangu huwa naumia sana (RIP my mama) lakini sio kwa kiwango cha juu hivyo mkuu @Somboko!!!
Yeye anaona kamtenda padogo sana mwenzie angekua na kisu ungeshuhudia damu tuu, afu sio somboko
 
Halafu kiungo chenyewe (sio kikavu) ujue!!! mkaa unaweza kuzima kabla lengo la muunguzaji halijatimia.hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hasira hasara walivyojisemea wahenga wetu
Kweli, lkn bahati kwa mchomwaji hakukua na silaha kubwa zaid ya moto, wakurya sio wa mchezo wakiwa kwao ila dar eti wanauza mayai[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha!!kweli nimecheka sana ila Mimi nakubaliana na mtoa post coz nimeishi na hawa jamaa wakurya ukweli no kwamba asilimia kubwa hawajui ngumi ila ni hodari kwa kutumia siraha hasa kisu,na huwa hawatishii yaani chochote atakacho nyanyua ni lazima akutwange nacho
 
Kweli, lkn bahati kwa mchomwaji hakukua na silaha kubwa zaid ya moto, wakurya sio wa mchezo wakiwa kwao ila dar eti wanauza mayai[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahah, mambo ya Kitunda.
 
Ha ha ha ha!!kweli nimecheka sana ila Mimi nakubaliana na mtoa post coz nimeishi na hawa jamaa wakurya ukweli no kwamba asilimia kubwa hawajui ngumi ila ni hodari kwa kutumia siraha hasa kisu,na huwa hawatishii yaani chochote atakacho nyanyua ni lazima akutwange nacho
Wafike mahali waache hasira ambazo hazina tija.
 
Mwisho wa tukio, walimchukua yule kaka aliyechomwa wakaanza kumpaka asali, na yule katili akawa pale pale wala sikuona aliyethubutu kumkamata!!
Ilinitisha sana mkuu Antonio de Guzman
Usimuite katili,,,, unatoa vyeo vingi vibaya vya kila namna kwa jamaaa.
Ila huyu aliemtusi mama wa watu, hujaona ukatili wake.

Mkurya hakufanya na huyu alietusi aangalie vipimo vya kinywa chake

Mdomo unaweza leta madhara zaidi, kuliko mkono.
 
Alimuunguza sana ujue!!!
 
Back
Top Bottom