Sitamchit nitampendajee?? Hebu nifanyie mpango wa namba bhanammmh!!!! Cute hapana bwana, huyo ndio wale ambao akikuhisi unamchiti anaweza kuchukua mkaa akakubandika hukoooo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitamchit nitampendajee?? Hebu nifanyie mpango wa namba bhanammmh!!!! Cute hapana bwana, huyo ndio wale ambao akikuhisi unamchiti anaweza kuchukua mkaa akakubandika hukoooo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anaubandika wapi eti.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmh!!!! Cute hapana bwana, huyo ndio wale ambao akikuhisi unamchiti anaweza kuchukua mkaa akakubandika hukoooo!!!
Wengine ukimuhusisha mama yake ni dharau kubwa sana kwao wanaweza kuuaSio promo, lilikuwa tukio baya sana, sikupenda kwa kweli hata kama yule mwenzio alimtukania mama yake!!!
hahahahah, ngoja nimuulize mheshimiwa Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga kama anaweza kukupenyeza kwenye moyo wake. 😀😀😀😀😀Sitamchit nitampendajee?? Hebu nifanyie mpango wa namba bhana
Ni kweli hata mimi nikitukaniwa mama yangu huwa naumia sana (RIP my mama) lakini sio kwa kiwango cha juu hivyo mkuu Somboko!!!Wengine ukimuhusisha mama yake ni dharau kubwa sana kwao wanaweza kuua
hahahah, huko kwenye kiungo kinachomchiti, hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anaubandika wapi eti.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye anaona kamtenda padogo sana mwenzie angekua na kisu ungeshuhudia damu tuu, afu sio sombokoNi kweli hata mimi nikitukaniwa mama yangu huwa naumia sana (RIP my mama) lakini sio kwa kiwango cha juu hivyo mkuu @Somboko!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahah, huko kwenye kiungo kinachomchiti, hahahahahaha
Halafu kiungo chenyewe (sio kikavu) ujue!!! mkaa unaweza kuzima kabla lengo la muunguzaji halijatimia.hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hasira hasara walivyojisemea wahenga wetuYeye anaona kamtenda padogo sana mwenzie angekua na kisu ungeshuhudia damu tuu, afu sio somboko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu kiungo chenyewe (sio kikavu) ujue!!! mkaa unaweza kuzima kabla lengo la muunguzaji halijatimia.hahahaha
Sasa huyu mbona alienda kuchota moto kwa mikono yake mikavu mikavu!!!!Amini nawaambia, hakuna wanaume waoga kama wakurya!!! Ugomvi wa kavukavu hawawezi wao wanakimbilia mapanga
Kweli, lkn bahati kwa mchomwaji hakukua na silaha kubwa zaid ya moto, wakurya sio wa mchezo wakiwa kwao ila dar eti wanauza mayai[emoji23][emoji23][emoji23]Hasira hasara walivyojisemea wahenga wetu
hahahah, mambo ya Kitunda.Kweli, lkn bahati kwa mchomwaji hakukua na silaha kubwa zaid ya moto, wakurya sio wa mchezo wakiwa kwao ila dar eti wanauza mayai[emoji23][emoji23][emoji23]
Wafike mahali waache hasira ambazo hazina tija.Ha ha ha ha!!kweli nimecheka sana ila Mimi nakubaliana na mtoa post coz nimeishi na hawa jamaa wakurya ukweli no kwamba asilimia kubwa hawajui ngumi ila ni hodari kwa kutumia siraha hasa kisu,na huwa hawatishii yaani chochote atakacho nyanyua ni lazima akutwange nacho
Usimuite katili,,,, unatoa vyeo vingi vibaya vya kila namna kwa jamaaa.Mwisho wa tukio, walimchukua yule kaka aliyechomwa wakaanza kumpaka asali, na yule katili akawa pale pale wala sikuona aliyethubutu kumkamata!!
Ilinitisha sana mkuu Antonio de Guzman
Alimuunguza sana ujue!!!Usimuite katili,,,, unatoa vyeo vingi vibaya vya kila namna kwa jamaaa.
Ila huyu aliemtusi mama wa watu, hujaona ukatili wake.
Mkurya hakufanya na huyu alietusi aangalie vipimo vya kinywa chake
Mdomo unaweza leta madhara zaidi, kuliko mkono.
Si ndio silaha aliyoiona kwa karibu?Sasa huyu mbona alienda kuchota moto kwa mikono yake mikavu mikavu!!!!