Huyu kaka kabila la Mkurya alinishangaza!!!!

Mwisho wa tukio, walimchukua yule kaka aliyechomwa wakaanza kumpaka asali, na yule katili akawa pale pale wala sikuona aliyethubutu kumkamata!!
Ilinitisha sana mkuu Antonio de Guzman
Pole sana kwa kuogopa nahuja but kwa mie wala nisingeogopa maana nishashuhudia matukio zaidi ya ilo like watu wanakatana mapanga live
 
😳😳
 
Picha ziko wapi?
 
Yale hayatishi!! japo kuna lingine muhusika anaweza kulilaza kifuani kwangu linaanzia kifuani hadi kwenye shinga yangu kwa urefu!!!! Mengine ni marefu yataka moyo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ilo si ni lichatu kabisa
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› Watu wana hayo "machatu" kiasi kwamba hata akivaa ana namna ya kulilaza ili likae vyema kwenye boksa. hahahahahahah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nikae kimya nitafakari tukio la mkurya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…