- Thread starter
- #121
mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhh!!!Ngumi wanatumiaga kwa wanaojamiiana kidamu ila kama ni mtu baki tu utaelewa tu somo la bapa za panga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhh!!!Ngumi wanatumiaga kwa wanaojamiiana kidamu ila kama ni mtu baki tu utaelewa tu somo la bapa za panga
hivi eeeee!!!Hatumuon genta muda mref humu ndan
Ningekuwa mwanasiasa Huyo namuajiri kama bodyguard,Mwisho wa tukio, walimchukua yule kaka aliyechomwa wakaanza kumpaka asali, na yule katili akawa pale pale wala sikuona aliyethubutu kumkamata!!
Ilinitisha sana mkuu Antonio de Guzman
Anaonekana anapenda sana kutumia silaha kuliko mwili wake, hivyo hafai hiyo nafsi.Ningekuwa mwanasiasa Huyo namuajiri kama bodyguard,
Sasa so unamsakizia kwa wasiofahamika,ngoma inakua drooAnaonekana anapenda sana kutumia silaha kuliko mwili wake, hivyo hafai hiyo nafsi.
😵Manina
Ni kweli mkuuChai hii
Ana hasira za maudhi.
Walitangaza radio gani maana hili tukio ni la kutangazwa redioni mkuuMuraaa hawapendi maskhara kbs,
Kuna siku moja mkurya alikuwa kainama sasa mstari wa bonde matako ukawa nje!
Kuna jamaa akamtania oyooo muraaa mbona unaacha mali nje!wengine tukiona ivyo hali inabadilika.
Aroo mkurya aliinuka na kisu akaishindilia hapo kifuani kwa jamaa na muvi ndo ikaishia hapo
[emoji16]Walitangaza radio gani maana hili tukio ni la kutangazwa redioni mkuu
Huyo mkurya mwanafunzi wangu, hayo ndiyo mambo yangu kushika na kumeza makaa ya motoMkuu sio uongo yaani mie mwenyewe nilishangaa japo sikukimbia. Nilijiulizani bangi au ni kitu gani. Nilitamani nimuombe nione mikono yake, lakini kwa jinsi alivyokuwa amefura kwa hasira nikaogopa!!!!
Jana nikiwa kwenye ofisi za kampuni za mabasi za Adventure na Saratoga jijini Mwanza niliona kituko cha kumalizia mwezi wa Julai, 2018 kutoka kwa kaka ambaye alijigamba kuwa ni mkurya na kweli lafudhi yake ni ya kabila la kikurya.
Kaka huyu ambaye alikuwa maeneo hayo ya ofisi waligombana na mwenzake (wote 2 wanaonekana shughuli zao sio mbali na ofisi hizo). Katika ugomvi huo yule kaka mwingine ambaye sio mkurya akamtukana yule mkurya tusi la kuhusu viungo vya siri vya mama yake mzazi, tusi ambalo wengi wanapenda kulitumia.
Kaka mkurya, alighadhibika sana kusikia tusi lile. Hapo pembeni alikuwepo muuza kahawa, amewasha jiko la mkaa na juu yake kabandika birika la chuma anachemsha kahawa kwa ajili ya wateja wake ambao walikuwa wamekaa kwenye benchi wakiwa wanaongea story zao hasa za kuhusu mheshimiwa Waitara kujivua ubunge.
Ghafla kaka yule mkurya aliyetukaniwa mama yake, akaepua lile birika la kahawa, AKACHOTA MKAA KWA MIKONO YAKE, AKAUSHIKA ULE MKAA MIKONONI KWA SEKUNDE KADHAA, HALAFU KILICHOFUATA AKAMFUATA YULE ALIYEMTUKANA, AKAMGANDAMIZIA ULE MKAA MGONGONI MWAKE, yaan sio kwamba alimrushia ule mkaa bali aliushikilia na kumgandamizia yule mgomvi wake mgongoni kwa mikono yake kwa sekunde nyingi!!!
Du! wateja waliokuwa wanakunywa kahawa walitimua mbio (wanaume wa Mwanza).
Nahuja mie nikasema hapa sitoki hadi nione mwisho wake, hapo kumbuka wanaume wamekimbia pamoja na muuza kahawa. Basi yule aliyekuwa anachomwa alipiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna aliyemsogelea aliyekuwa ameshika moto nikiwemo na mimi.
Nililala usiku naota ndoto mbaya ya lile tukio.