Kabila lake unataka ukatambike?Sijasema hana msafara, ila sio huo wa kukuta watu eti wananing'inia na mi bunduki, mfano mzuri enzi zile za mwamunyange, waulize watu wa mbezi beach, walikuwa wanashangaa kama ni yeye ndio anapita hakuna mishemishe kabisa!! Hayo mambo ni hulka ya mtu, tu ndio maana akistafu anapata shida sana, mwisho wa siku lazima awahi kufa!! Tungepata na kabila lake huyo tungeweza kwenda mbele zaidi inawezekana analaumiwa bure tu
Hapana sikusimuliwa ilikuwa liveNauona uongo flani hapa... Gari ya kiongozi inasubiri apande ndo iwashwe?? Au ulisimuliwa sehemu.. Labda kama ilikuwa movie kweli kama unavyosema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mwamunyange wakati anakaa nyuma ya ubalozi wa zamani wa marekani tulikuwa tunatulizwa mpaka atoke sisi tuliokuwa tunakwepa foleni ya Ally H. Mwinyi kutokea, Kenyata 1,Salender bridge. Siku hiyo ulipokutana na Mwamunyage bila ving'ora alikuwa ametoka kwenye mishe zake. Hata maraisi wakiwa kwenye mambo yao ya kawaida wanaweza wasitumie ving'ora.Mfano Mkapa alikuwa akitembea wala usijue ni yeye!Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Hapo nimekusoma!Gari ya boss always inakuwa iko tayari lakini hao wapambe gari zao ni land tover zilizochoka na linapotokea lboss lazima asubiri nae
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahahahahah lilizingua lile la kwao!Gari ni mbili ujue moja
Kasheshe ilikuwa kwa hilo wanalodandia kwa nyuma
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Angeandika barua.ingemfikia haraka.
Maneno ya humu yataishia humu humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani walikuwa wameishalidandia
[emoji23] askari/mjeshi siku zote anatakiwa awe role mode kwa kufanya vitu ambavyo vinawavutia raia. Kuhusu polisi kuwachukulia hatua wajeshi hiyo haipo na haitakuja itokee na maafisa wa polisi nguvu yao ipo pale pale.
Alikuwa atachee RwandaRwanda?
Basi hao wapumbavu sana. Mwamnyange hakuwahi simamsha magairi ila kinolinoli chake kilisikia. Nashukuru kwa masahihisho. Mabeyo ninayemfahamu awe diktata wa kusimamisha magari????Wanaoruhusiwa kusimamisha magari ili wapite sio yeye tu kwa wenye vyeo vya kijeshi... Mabeyo anaishi maeneo ya segerea hukoo... Huko tegeta ni maofisa wa jeshi wengine tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu huo ushauri uliotoa haujapishana na hata chembe na hukumu ya yule Mwalimu wa kule kwa wala wadudu warukao usiku kufuata mwanga wa taa!.Mkuu keshô andika bango lako kuelezea haya yote kisha simama pale Mwenge barabaràni uwaonyeshe hao wanaoning'inia milangoni
Umewasiliaha vizuri sana ila COS ni madaraka kamailivyo kwa ,CDF,CNS na sio cheoKijeshi ni Luteni Jenerali (Lieutenant Geneal; 3-star General) just nyuma ya Mkuu wa Majeshi (Jenerali - 4-star General). Chief of Staff ni cheo cha utendaji ambacho anaweza akapewa kamanda mwingine yeyote mwenye cheo sawa cha kijeshi.
Kula kwanza ushibe alafu ziada ndio uwape wengine hii ndio maana nzuri ya usemi wako. [emoji16]
Mkorintho wa 6
Sheria ya usalama barabarani Tanzania
Hata wewe mwongo, siyo wa Tanga!Acha uongo sio mzenji ni MTU wa Tanga!
Umedanganywa na zile picha za mitandaoni sio?Sasa yeye ni mwanajeshi anatembea na askari wa nini? Mbona Kenyatta huwa anaendesha gari mwenyewe na kuingia mitaani bila hata ving'ora?
Sasa yeye anahofu gani hadi azunguke na MP kiasi hicho? Naelewa hata Kenyatta huwa hawi peke yake lakini hakuna mbwe mbwe kama za huyo afisa