Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Sijasema hana msafara, ila sio huo wa kukuta watu eti wananing'inia na mi bunduki, mfano mzuri enzi zile za mwamunyange, waulize watu wa mbezi beach, walikuwa wanashangaa kama ni yeye ndio anapita hakuna mishemishe kabisa!! Hayo mambo ni hulka ya mtu, tu ndio maana akistafu anapata shida sana, mwisho wa siku lazima awahi kufa!! Tungepata na kabila lake huyo tungeweza kwenda mbele zaidi inawezekana analaumiwa bure tu
Kabila lake unataka ukatambike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Hata mwamunyange wakati anakaa nyuma ya ubalozi wa zamani wa marekani tulikuwa tunatulizwa mpaka atoke sisi tuliokuwa tunakwepa foleni ya Ally H. Mwinyi kutokea, Kenyata 1,Salender bridge. Siku hiyo ulipokutana na Mwamunyage bila ving'ora alikuwa ametoka kwenye mishe zake. Hata maraisi wakiwa kwenye mambo yao ya kawaida wanaweza wasitumie ving'ora.Mfano Mkapa alikuwa akitembea wala usijue ni yeye!
 
Police muwafungulie mashitaka wanavunja sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] askari/mjeshi siku zote anatakiwa awe role mode kwa kufanya vitu ambavyo vinawavutia raia. Kuhusu polisi kuwachukulia hatua wajeshi hiyo haipo na haitakuja itokee na maafisa wa polisi nguvu yao ipo pale pale.

Jeshi na polisi ni organs mbili muhimu sana na zinazoheshimiana kikazi.

Over!!!

5/5
 
Alikuwa atachee Rwanda
Wanaoruhusiwa kusimamisha magari ili wapite sio yeye tu kwa wenye vyeo vya kijeshi... Mabeyo anaishi maeneo ya segerea hukoo... Huko tegeta ni maofisa wa jeshi wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hao wapumbavu sana. Mwamnyange hakuwahi simamsha magairi ila kinolinoli chake kilisikia. Nashukuru kwa masahihisho. Mabeyo ninayemfahamu awe diktata wa kusimamisha magari????
 
Kijeshi ni Luteni Jenerali (Lieutenant Geneal; 3-star General) just nyuma ya Mkuu wa Majeshi (Jenerali - 4-star General). Chief of Staff ni cheo cha utendaji ambacho anaweza akapewa kamanda mwingine yeyote mwenye cheo sawa cha kijeshi.
Umewasiliaha vizuri sana ila COS ni madaraka kamailivyo kwa ,CDF,CNS na sio cheo
 
Sasa yeye ni mwanajeshi anatembea na askari wa nini? Mbona Kenyatta huwa anaendesha gari mwenyewe na kuingia mitaani bila hata ving'ora?
 
Back
Top Bottom