Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Mwamunyange alikuwa hna mbwembwe sana hata ukikutana naye ni low profile!
Ila huyo wa msafara mpk wajeda wananunginia madirishani ni balaa
Ngj siku wachomoke madirishani lbda watajifunza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo atakuwa Director General

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mwamnyange alikuwa jirani yetu na akitoka yeye ni gari yake tu na sana sana ni honi ila hakusimamisha mtu barabarani???? Mabeyo mbona wewe ni mtu wa amani kwa nini uwe hivi? I know you very well toka tupo Rwanda.
 
Cheo chake nchake ni Chief of Staff, ni cheo cha pili kutoka brigedia general... general...kama ukifuatilia zaidi unaweza kulipata jina lake mahali fulani naamini

"Chief of staff ni cheo cha pili kutoka brigadier general " !!?
 
Mbona Mwamnyange alikuwa jirani yetu na akitoka yeye ni gari yake tu na sana sana ni honi ila hakusimamisha mtu barabarani???? Mabeyo mbona wewe ni mtu wa amani kwa nini uwe hivi? I know you very well toka tupo Rwanda.
Alokwambia ni mabeyo nani?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mwamnyange alikuwa jirani yetu na akitoka yeye ni gari yake tu na sana sana ni honi ila hakusimamisha mtu barabarani???? Mabeyo mbona wewe ni mtu wa amani kwa nini uwe hivi? I know you very well toka tupo Rwanda.

Rwanda?
 
Kweli Warusi wametuzidi.
 
Duu huyo kamanda angekua ndio Cdf cjui ingekuaje,tatizo wanalewa madaraka wanajiona wao ndio kila kitu dhidi ya wengine,hawa ndio wale wakishastaafu hawachukui mwaka unackia presha cjui nini sababu hivi vifavour vya kijinga wanakua hawavipati tena,mxiu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... huyu jamaa sijui ana tatizo gani. Mbona Jenerali Mabeyo tunapishana naye mitaa ya Segerea kila siku kikawaida kabisa bila wananchi kuwekwa pembeni au kugandishwa kwenye foleni. Anasahau kila mtu anawahi kwenye mihangaiko yake na sio yeye tu.
Huwa hapendi makuu sana basi tu watu hawamjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauona uongo flani hapa... Gari ya kiongozi inasubiri apande ndo iwashwe?? Au ulisimuliwa sehemu.. Labda kama ilikuwa movie kweli kama unavyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…