Huyu kanichosha

umejuaje!
 
je mkeo anafanya kazi benk.....aisee kama mkeo ni bank teller ni nooma...maana kwanza anachelewa kurud nyumbani then anakua mkali xana vilevile wengi wao huliwa
 
Mkuu huyu napiga chini
 
Mi nilimfungia wife duka la simu na mpesa nikampa mtaji wa mil2 nikamwambia awe anatumia kamisheni tuu kwa shida yake!
Matokeo yake kila kitu kikipita pale dukani lazma atanunua hata km tunacho nyumbani.
Polepole nikajikuta nalifunga duka maana siku ingine analifunga kabisa hafungui eti anaenda shoppingi
 
Shenzi type hawa wanawake. Tuliotamani sura na shepu kumbe kichwani weupe kabisa
ndomana vijana wasaivi wanatamani wanawake waajiriwa tu
 
Mkuu kwenye maktaba yako kama zipo picha nyingne Kama hizi nisaidie tafadhali Kama hutojali


[emoji124]
 
Pole kwa yanayokukuta;
Nimesoma kwa umakini na kugundua kuwa wewe ndio tatizo; Unalalamika bila kuchukua hatua.
Endelea kulalamika, mpaka utakapochukua hatua.
Ukweli ni huu
1. Huyu mwanamke hakupendi
2. Anakudharau
3. Ameshajua wewe ni mtu wa kulalamika na huchukui hatua
4. Kama anakunyima unyumba jua kuwa ana kijana anamkuna.

Nikutakie kila la kheri kwenye majukumu yako.
 
Atapaa kwenda kwao[emoji34][emoji34]
 
Mkuu kwenye maktaba yako kama zipo picha nyingne Kama hizi nisaidie tafadhali Kama hutojali


[emoji124]
Zipo nyingi mkuu unataka za aina gani?weka mamba pm ya wasap hadi video utapata
 
Atakuwa anafanana
 
Onana na viongozi was dini wawaweke chini naiman atabadilika tu, wanawake akili zetu twazijua wenyewe tukiachwa ndo twaanza kulia lia.
Kuonana na viongozi wa dini ni shauri mbovu zinazoshauriwa kwa wengi.Viongozi hao wa dini nao wana matatizo lukuki ndani ya ndoa zao watawezaje kutatua changamoto za wengine?
Mwanaume halisi maamuzi huyatoa bila kuogopa ama kufikiria kuwa jamii yaweza kukutenga.Huyu kiumbe aliyeelezewa na huyu mwanamume hana sifa ya kuendelea kuwa mke wa mwanaume bora.Anafaa kuwa mke wa walevi,malaya na mashoga.
 
Wakwangu juzi juzi kajitia wehu eti ameona namba ya mtu huwa inanipigia mara nyingi kavizia nimekwenda bafuni kachukua simu yangu na kumpigia" et ww nani nimeona huwa unaongea na mume wangu" majibu aliyokutana nayo sidhani kama atarudia kufanya huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…