Huyu kanichosha

Huyu kanichosha

Wakwangu juzi juzi kajitia wehu eti ameona namba ya mtu huwa inanipigia mara nyingi kavizia nimekwenda bafuni kachukua simu yangu na kumpigia" et ww nani nimeona huwa unaongea na mume wangu" majibu aliyokutana nayo sidhani kama atarudia kufanya huo ujinga.
jaribu kuanza kumlamba mkund....ataacha hyo tabia ya kushka shka cmu
 
Kuonana na viongozi wa dini ni shauri mbovu zinazoshauriwa kwa wengi.Viongozi hao wa dini nao wana matatizo lukuki ndani ya ndoa zao watawezaje kutatua changamoto za wengine?
Mwanaume halisi maamuzi huyatoa bila kuogopa ama kufikiria kuwa jamii yaweza kukutenga.Huyu kiumbe aliyeelezewa na huyu mwanamume hana sifa ya kuendelea kuwa mke wa mwanaume bora.Anafaa kuwa mke wa walevi,malaya na mashoga.
aisee basi aanze kumlamba mkund
 
Pole sana...

Usimpe talaka... mtafutie nyumba ndogo, akili itamkaa sawa...

Cc: mahondaw
 
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.
Kusema kweli naipenda familia yangu na kama mwanaune najitahidi sana kuihudumia. Nyumbani kwangu tunao mabinti wawili wa kazi. Mmoja kwa ajili ya kusaidia kazi za ndani na mwingine kusaidia kulea watoto wetu mapacha wenye umri wa miaka miwili hivi sasa.
Pamoja na yote nayojitahidi kumtimizia mke wangu, yeye amekuwa mtu ambaye hatimizi majukumu yake kama mke.
Amekuwa na ile aina ya maisha ya mitandaoni, kwanza ni mtu wa kushinda sana Instagram, facebook, Watsapp, Snapchat na Jamii Forums
Katika Page zote za Umbea umbea, page za maeneo ya starehe, hoteli za hadhi hakosekani. Hana muda kabisa wa kunipikia chakula, kunifulia nguo na kazi nyingine zote wanafanya wadada wa kazi.
Nilimtafutia kazi katika kampuni fulani, alifanya kazi miezi miwili tu na kuacha maelezo yake eti mshahara ni mdogo mno ukilinganisha na elimu yake. Kumbe aliniongepea kwani ukweli ni kwamba alifukuzwa kutokana na uzembe kazini.
Sikuona tabu, nikamfungulia duka la bidhaa za nyumbani (mini-shop), lakini biashara hata ikawa haistawi, nilivyofanya uchunguzi nikaja kugundua kuwa sababu ni lugha yake mbovu kwa wateja kiasi ya kwamba ilikuwa haipiti siku bila kugombana na wateja kadhaa jambo lililofanya wateja kukimbia.
Nimechukua maamuzi mara kadhaa ya kumrudisha kwao lakini amekuwa akilia na kudai nimsamehe atajirekebisha lakini wapi, hubadilika muda mfupi na kurudi kwenye ujinga wake.
Jambo kubwa ambalo limefanya mpaka uvumilivu unishinde ni hili; Juzi kati kuna fedha Milioni mbili na nusu niliipata baada ya kuuza mazao yangu, kwa kuwa ile fedha nilipewa cash na ilikuwa siku ya Jumamosi usiku nikaazimia Jumapili baada ya kutoka Kanisani nakaiweke benki kupitia Wakala wa Fahari Huduma.
Kumbe mwenzangu aliziona, akachukua na kwenda kununua furniture, Oven, Friji na vikolombwezo vingine kwa ajili ya kumpa rafiki yake ambaye alikuwa anafanyiwa kitchen party Wiki iliyokua inafuata. Nilipomuuliza akawa akinipa stori za alufu ulela ulela. Hazina miguu wala mikono.
Nafikiri sasa nimechoka rasmi, hapo sijazungumzia masuala ya kunyimwa unyumba. Nafikiria Kutalakiana nae. Maana nahisi muda wowote naweza nikafa kwa pressure nikaacha wanangu bado wadogo.
Je , niko sahihi kwa maamuzi ya kumpa talaka nilee tu watoto mwenyewe maana sioni msaada wowote!View attachment 1094860
Pole sana kwa hayo unayopitia mkuu ila ikiwezekana mrudishe kwao kabla hujapata hasira zaidi ili isijikute unaenda kununua gunia za mkaa
 
Huyi mwanamke ulimpora mtu mpenzi wake au ulianza nae muda mrefu?
 
Foundation ya ndoa yako hukuijenga imara tangu mwanzo,... Na usije ukadhan yy hakupend, ni hulka tu..
Ila ushauri wangu kama kweli unampenda mkeep bize, ondoa house girls wote, simu pokonya,mpe ya tochi.. Kama akishindwa kufikia matakwa yako basi aombe talaka na sio ww... Nina maana yangu kusema usitoe talaka bila yy kusema amekushindwa.... Linda heshima yako kwa wanao mbeleni usije kuonekana mbaya kwa chuki za kupandikizwa wanao na mkeo.
 
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.

Kusema kweli naipenda familia yangu na kama mwanaune najitahidi sana kuihudumia. Nyumbani kwangu tunao mabinti wawili wa kazi. Mmoja kwa ajili ya kusaidia kazi za ndani na mwingine kusaidia kulea watoto wetu mapacha wenye umri wa miaka miwili hivi sasa.

Pamoja na yote nayojitahidi kumtimizia mke wangu, yeye amekuwa mtu ambaye hatimizi majukumu yake kama mke.

Amekuwa na ile aina ya maisha ya mitandaoni, kwanza ni mtu wa kushinda sana Instagram, facebook, Watsapp, Snapchat na Jamii Forums

Katika Page zote za Umbea umbea, page za maeneo ya starehe, hoteli za hadhi hakosekani. Hana muda kabisa wa kunipikia chakula, kunifulia nguo na kazi nyingine zote wanafanya wadada wa kazi.

Nilimtafutia kazi katika kampuni fulani, alifanya kazi miezi miwili tu na kuacha maelezo yake eti mshahara ni mdogo mno ukilinganisha na elimu yake. Kumbe aliniongepea kwani ukweli ni kwamba alifukuzwa kutokana na uzembe kazini.

Sikuona tabu, nikamfungulia duka la bidhaa za nyumbani (mini-shop), lakini biashara hata ikawa haistawi, nilivyofanya uchunguzi nikaja kugundua kuwa sababu ni lugha yake mbovu kwa wateja kiasi ya kwamba ilikuwa haipiti siku bila kugombana na wateja kadhaa jambo lililofanya wateja kukimbia.

Nimechukua maamuzi mara kadhaa ya kumrudisha kwao lakini amekuwa akilia na kudai nimsamehe atajirekebisha lakini wapi, hubadilika muda mfupi na kurudi kwenye ujinga wake.

Jambo kubwa ambalo limefanya mpaka uvumilivu unishinde ni hili; Juzi kati kuna fedha Milioni mbili na nusu niliipata baada ya kuuza mazao yangu, kwa kuwa ile fedha nilipewa cash na ilikuwa siku ya Jumamosi usiku nikaazimia Jumapili baada ya kutoka Kanisani nakaiweke benki kupitia Wakala wa Fahari Huduma.

Kumbe mwenzangu aliziona, akachukua na kwenda kununua furniture, Oven, Friji na vikolombwezo vingine kwa ajili ya kumpa rafiki yake ambaye alikuwa anafanyiwa kitchen party Wiki iliyokua inafuata. Nilipomuuliza akawa akinipa stori za alufu ulela ulela. Hazina miguu wala mikono.

Nafikiri sasa nimechoka rasmi, hapo sijazungumzia masuala ya kunyimwa unyumba. Nafikiria Kutalakiana nae. Maana nahisi muda wowote naweza nikafa kwa pressure nikaacha wanangu bado wadogo.

Je , niko sahihi kwa maamuzi ya kumpa talaka nilee tu watoto mwenyewe maana sioni msaada wowote!View attachment 1094860
Hii ndio picha yake? Bila picha ni sawa na kula mkate chai baadae
 
Nina situation kama ya jamaa, kwa namna nilivyokuwa nampenda wife na hasa anavyovutia nikawa naogopa nikimuacha atapata mtu alafu atabadirika alafu wanafanya mambo makubwa ya mafanikio na huyo jamaa huku jamaa akifaudu kumtafuna mke wangu, nikawa kwenye fikra za namna hiyo kwa muda mrefu sana.

Na ikawa kila akipoteza pesa nyingi sana katikati ya ugomvi eti anashika mimba, mtoto wa kwanza haikuwa hivyo, ila wapili alishika mimba katikati ya ugomvi baada ya kupoteza pesa, akazaa mtoto tunafanana sana nikaachana na ugomvi. Upuuzi wake wa kitabia kama mke wa huyu jamaa kila kitu ikiendelea kama kawaida, baada ya miaka mitatu akapoteza pesa ingine nyingi zaidi ya mwanzo hii nikaanza mpaka mchakato wa taraka sasa, sijui alinitegea au uboya wangu mwenyewe katikati ya ugomvi mkubwa akatangaza mimba tena, nikapoa akazaa, tabia zake ziko pale pale.

Wakati huo kwanza nilikuwa nasema lazima mtoto wangu akulie kwenye mazingira bora kabisa ya kifamilia, kisha ikawa watoto wangu mpaka wamefikia watatu.

Hoja nzito walizokuwa wakileta ndugu zake na yeye mwenyewe na ndugu zangu wakawa wanazisupport kwenye vikao (japo tukiwa wenyewe wanazipiga chini) ikawa ni watoto, kwamba tukiachana watoto watapata tabu, familia yetu ni nzuri sana tusiiharibu, oooh Mungu ataleta zingine na promises za wife kubadirika zote hazikusaidia HAKUBADIRIKA

siku moja nikakaa nakutafakari, kama nikifa leo watoto wangu ntawasadiaje, au mke wangu hataliwa na wanaume wengine? Na hizi mali, ambazo ni chache sana kiukweli ntaenda nazo kaburini, nikatafakari namna watu waliokulia maisha ya tabu wanavyo perform vizuri kwenye maisha na namna wake za watu wanavyogegedwa mitaani, nikafikia maamuzi BREAK IT UP.

I BROKE IT UP. nikamuachia kila kitu kinachotafutika, kila kitu, nikaondoka ,nikauhama na mji na kazi nikaacha nikasepa.

WHAT A HAPPY MAN I AM TODAY.
pole sana mkuu
 
Pole sana kwa hayo unayopitia mkuu ila ikiwezekana mrudishe kwao kabla hujapata hasira zaidi ili isijikute unaenda kununua gunia za mkaa
kweli kuu, gunia mbili na petrol lita 10 inatosha kabisaa
 
Uliangalia uzuri wake kabla ya kujua tabia,sikulaumu,wanaume wengi sana tunafanya hilo kosa,na mnapoanza mahusiano unafanya haraka kuoa ili wasikuzidi akili wajanja na pia kuwakomesha watu kuwa una mtoto mzuri,pole sana mkuu...
 
Kuna kila dalili mke wake kuwa ni CCM kwa sifa alizotueleza.
Duh! Pole sana Mkuu. Una mke mwizi, mvivu halafu hatimizi majukumu yake kama mke. Acha wengi waamue kuendelea kuwa mabachela. Pole sana.
 
Nilifungua huu uzi nikasoma,ila kilichoandikwa na picha iliyoambatanishwa inaondoa umakini wa kinachoombewa ushauri. Hata hivyo nimeona nikushauri kwa yangu machache.
1. Ndoa hasa ya mkristo haivunjwi ISIPOKUWA kwa habari ya uzizi pekee.
2. Pili kila mmoja amekuwa na makuzi yake peke yake akiamini anachokifanya tena ukimuuliza atakupa sababu zake anazoamini ni za msingi
3. Miaka mliokaa ni michache mno mno kuanza kulia kwamba habadiliki watu mpaka miaka 20 ya Ndoa bado wanafanya adjustment
4. Unapomnyooshea kidole mwenzako kumbuka vidole vinne vilivyobaki vinanyooshea kwako. JE WEWE UNA MAPUNGUFU GANI? YAPI NI MATATIZO YAKO? na yy anayavumilia? mangapi unayafanya unavumiliwa?
5. Mungu anachukia kuachana. Na mwanzo wa kumwacha mwenzako ni mwanzo wa shida zako(mwenzako kakuletea baraka na halfway nuksi kwako ). Wakristo tunaambiwa mpende adui yako msamehe anayekuudhi. Na msamaha hapa ni saba mara sabini.
Mwisho kumbuka watakao kushauri humu wengi yao yamewashinda na wanataka ushindwe na wewe. MPENDE SANA MKEO NA YEYE ATAKUTII WALA HAIITAJI NGUVU. Waswahili wanasema mpige mkeo kwa upande wa khanga
 
Nikisoma thread hi nagundua kwanza maisha yako ni super
Na kwa ufahamu wangu wanawake wengi huitaji mwanaume super kwenye maisha yao
Ukiona all of it unafanya na bado halidhiki japo sipo kwenye ndoa basiiii fanya yafuatayo
Tafuta wazee waongee nae aseme anataka nini
Au kwakutumia malafiki zake pia.... Si suggest nyie kutengana sababu ndoa muunnganishaji ni mungu....... Na mimi sio mungu

Yakikushinda bas pita hivi apite hivi
 
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.

Kusema kweli naipenda familia yangu na kama mwanaune najitahidi sana kuihudumia. Nyumbani kwangu tunao mabinti wawili wa kazi. Mmoja kwa ajili ya kusaidia kazi za ndani na mwingine kusaidia kulea watoto wetu mapacha wenye umri wa miaka miwili hivi sasa.

Pamoja na yote nayojitahidi kumtimizia mke wangu, yeye amekuwa mtu ambaye hatimizi majukumu yake kama mke.

Amekuwa na ile aina ya maisha ya mitandaoni, kwanza ni mtu wa kushinda sana Instagram, facebook, Watsapp, Snapchat na Jamii Forums

Katika Page zote za Umbea umbea, page za maeneo ya starehe, hoteli za hadhi hakosekani. Hana muda kabisa wa kunipikia chakula, kunifulia nguo na kazi nyingine zote wanafanya wadada wa kazi.

Nilimtafutia kazi katika kampuni fulani, alifanya kazi miezi miwili tu na kuacha maelezo yake eti mshahara ni mdogo mno ukilinganisha na elimu yake. Kumbe aliniongepea kwani ukweli ni kwamba alifukuzwa kutokana na uzembe kazini.

Sikuona tabu, nikamfungulia duka la bidhaa za nyumbani (mini-shop), lakini biashara hata ikawa haistawi, nilivyofanya uchunguzi nikaja kugundua kuwa sababu ni lugha yake mbovu kwa wateja kiasi ya kwamba ilikuwa haipiti siku bila kugombana na wateja kadhaa jambo lililofanya wateja kukimbia.

Nimechukua maamuzi mara kadhaa ya kumrudisha kwao lakini amekuwa akilia na kudai nimsamehe atajirekebisha lakini wapi, hubadilika muda mfupi na kurudi kwenye ujinga wake.

Jambo kubwa ambalo limefanya mpaka uvumilivu unishinde ni hili; Juzi kati kuna fedha Milioni mbili na nusu niliipata baada ya kuuza mazao yangu, kwa kuwa ile fedha nilipewa cash na ilikuwa siku ya Jumamosi usiku nikaazimia Jumapili baada ya kutoka Kanisani nakaiweke benki kupitia Wakala wa Fahari Huduma.

Kumbe mwenzangu aliziona, akachukua na kwenda kununua furniture, Oven, Friji na vikolombwezo vingine kwa ajili ya kumpa rafiki yake ambaye alikuwa anafanyiwa kitchen party Wiki iliyokua inafuata. Nilipomuuliza akawa akinipa stori za alufu ulela ulela. Hazina miguu wala mikono.

Nafikiri sasa nimechoka rasmi, hapo sijazungumzia masuala ya kunyimwa unyumba. Nafikiria Kutalakiana nae. Maana nahisi muda wowote naweza nikafa kwa pressure nikaacha wanangu bado wadogo.

Je , niko sahihi kwa maamuzi ya kumpa talaka nilee tu watoto mwenyewe maana sioni msaada wowote!View attachment 1094860
pole sana kwakweli hilo la kuchukua pesa akaenda kununua ujinga na si kwaajili ya ndani kwake ni mashost hapana halivumiliki, usibaki na mtu ili akuue kabisa kwa presha fukuza aende ndo ayajue maisha
 
Back
Top Bottom