Huyu kanichosha

Huyu kanichosha

...and this is where shit always begins!

Yeye anapenda mitandao...wewe huku umekuja na ishu ya chumbani kwako ili nini kwa mfano!

Viumbe wa zama hizi wote Ke na Me akili zenu pumba tupu wote. Your personal life has nothing to do with public! Mtu mzima wa umri wako kama umeshindwa kufanya maamuzi ya maisha yako binafsi unategemea public ikupe opinion una matatizo na ndo maana mnakutana na mnaofanana kwa upuuzi!

Waliosema hii chai umeweka majani, iliki na mchaichai hawajakosea tena hukuacha ichemke vizuri.

Na uendelee kupambana na hali yako manake hakuna namna.

Shubaaaamiiitt!!!
SASA kwann unaingilia Uhuru binafsi wamtu kutafuta ushauri ,unahakika gani Kua hapa hatopata Majibu muafaka naakatatua matatizo yake acheni kuingilia maisha binafsi yamtu,yy kaona hapa panafaa kwann ww useme hapafai non sense,kama SSH Tu!
 
Nina situation kama ya jamaa, kwa namna nilivyokuwa nampenda wife na hasa anavyovutia nikawa naogopa nikimuacha atapata mtu alafu atabadirika alafu wanafanya mambo makubwa ya mafanikio na huyo jamaa huku jamaa akifaudu kumtafuna mke wangu, nikawa kwenye fikra za namna hiyo kwa muda mrefu sana.

Na ikawa kila akipoteza pesa nyingi sana katikati ya ugomvi eti anashika mimba, mtoto wa kwanza haikuwa hivyo, ila wapili alishika mimba katikati ya ugomvi baada ya kupoteza pesa, akazaa mtoto tunafanana sana nikaachana na ugomvi. Upuuzi wake wa kitabia kama mke wa huyu jamaa kila kitu ikiendelea kama kawaida, baada ya miaka mitatu akapoteza pesa ingine nyingi zaidi ya mwanzo hii nikaanza mpaka mchakato wa taraka sasa, sijui alinitegea au uboya wangu mwenyewe katikati ya ugomvi mkubwa akatangaza mimba tena, nikapoa akazaa, tabia zake ziko pale pale.

Wakati huo kwanza nilikuwa nasema lazima mtoto wangu akulie kwenye mazingira bora kabisa ya kifamilia, kisha ikawa watoto wangu mpaka wamefikia watatu.

Hoja nzito walizokuwa wakileta ndugu zake na yeye mwenyewe na ndugu zangu wakawa wanazisupport kwenye vikao (japo tukiwa wenyewe wanazipiga chini) ikawa ni watoto, kwamba tukiachana watoto watapata tabu, familia yetu ni nzuri sana tusiiharibu, oooh Mungu ataleta zingine na promises za wife kubadirika zote hazikusaidia HAKUBADIRIKA

siku moja nikakaa nakutafakari, kama nikifa leo watoto wangu ntawasadiaje, au mke wangu hataliwa na wanaume wengine? Na hizi mali, ambazo ni chache sana kiukweli ntaenda nazo kaburini, nikatafakari namna watu waliokulia maisha ya tabu wanavyo perform vizuri kwenye maisha na namna wake za watu wanavyogegedwa mitaani, nikafikia maamuzi BREAK IT UP.

I BROKE IT UP. nikamuachia kila kitu kinachotafutika, kila kitu, nikaondoka ,nikauhama na mji na kazi nikaacha nikasepa.

WHAT A HAPPY MAN I AM TODAY.
Brother mbona kama comments hii inafaa Kua Uzi nimekua interested Sana nakama kuna muendelezo tupatie mkuu,how did you manage to break it up,and how many things kama job,watoto nandugu pia,hebu tusaidie Kaka tuko tunajifunza Sisi tunaopitia the same same thing!nawasilisha
 
Sasa uliamua nn mkuu maana naona uzi wa kitambo huu..ila penye miti hapana wajenzi
 
Kwa hiyo picha ulioweka ina maana mkeo ni pisi kali...ulikimbilia kuoa kisa pisi kali ambayo kichwan haina kitu...ndo shida sasa...we vumilia tu..yakikushindwa piga chini
 
Nikifikiria talaka huwa nafiriia watoto wangu wataishi maisha ya vipi bila Mimi nakuwa napata jibu LA msamaha!
Na kufikiria kwako kutakuumiza sikuzotee pole snaa uzuri watoto wanakuwa vizuri kama ukiweka ukaribu nawoo
 
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.

Kusema kweli naipenda familia yangu na kama mwanaune najitahidi sana kuihudumia. Nyumbani kwangu tunao mabinti wawili wa kazi. Mmoja kwa ajili ya kusaidia kazi za ndani na mwingine kusaidia kulea watoto wetu mapacha wenye umri wa miaka miwili hivi sasa.

Pamoja na yote nayojitahidi kumtimizia mke wangu, yeye amekuwa mtu ambaye hatimizi majukumu yake kama mke.

Amekuwa na ile aina ya maisha ya mitandaoni, kwanza ni mtu wa kushinda sana Instagram, facebook, Watsapp, Snapchat na Jamii Forums

Katika Page zote za Umbea umbea, page za maeneo ya starehe, hoteli za hadhi hakosekani. Hana muda kabisa wa kunipikia chakula, kunifulia nguo na kazi nyingine zote wanafanya wadada wa kazi.

Nilimtafutia kazi katika kampuni fulani, alifanya kazi miezi miwili tu na kuacha maelezo yake eti mshahara ni mdogo mno ukilinganisha na elimu yake. Kumbe aliniongepea kwani ukweli ni kwamba alifukuzwa kutokana na uzembe kazini.

Sikuona tabu, nikamfungulia duka la bidhaa za nyumbani (mini-shop), lakini biashara hata ikawa haistawi, nilivyofanya uchunguzi nikaja kugundua kuwa sababu ni lugha yake mbovu kwa wateja kiasi ya kwamba ilikuwa haipiti siku bila kugombana na wateja kadhaa jambo lililofanya wateja kukimbia.

Nimechukua maamuzi mara kadhaa ya kumrudisha kwao lakini amekuwa akilia na kudai nimsamehe atajirekebisha lakini wapi, hubadilika muda mfupi na kurudi kwenye ujinga wake.

Jambo kubwa ambalo limefanya mpaka uvumilivu unishinde ni hili; Juzi kati kuna fedha Milioni mbili na nusu niliipata baada ya kuuza mazao yangu, kwa kuwa ile fedha nilipewa cash na ilikuwa siku ya Jumamosi usiku nikaazimia Jumapili baada ya kutoka Kanisani nakaiweke benki kupitia Wakala wa Fahari Huduma.

Kumbe mwenzangu aliziona, akachukua na kwenda kununua furniture, Oven, Friji na vikolombwezo vingine kwa ajili ya kumpa rafiki yake ambaye alikuwa anafanyiwa kitchen party Wiki iliyokua inafuata. Nilipomuuliza akawa akinipa stori za alufu ulela ulela. Hazina miguu wala mikono.

Nafikiri sasa nimechoka rasmi, hapo sijazungumzia masuala ya kunyimwa unyumba. Nafikiria Kutalakiana nae. Maana nahisi muda wowote naweza nikafa kwa pressure nikaacha wanangu bado wadogo.

Je , niko sahihi kwa maamuzi ya kumpa talaka nilee tu watoto mwenyewe maana sioni msaada wowote!View attachment 1094860
Si mnaoa mata kol nyie?😂 mnajisahau kuwa sisi ndo tupo?😂😂
 
Wanasema wahenga kubadirisha tabia au hulka yamtu kaka bora uambiwe uhamishe mlima"""" maana iyo ishakuwa tabia fanya decision mapema kabla ayajazidi

We jamaa tafiti nyingi zinasema wanawake kwenye matako makubwa watoto wao wana akili
Bro tafiti nyingi zipo kibiashara ....kiuhalisia katika jamii wewe umeshawahi ona impact yoyote ya hao big tako ....zaidi ya kushinda wanayabinua, kupiga picha za kijinga ,kuyatingisha , twerking ....?
 
Mkuu,nadhani ukizaa namwanamke anakua kama kakuroga dizaini flani,hata mm binafsi hyo Hali yakhurumia mwanamke wakati unajua fika huyu nijipu,nakwamba Hana dalili zakubadilika zipo mwanamke wapwani huko Lindi,mkigombana ndani kesi unasuluhishwa namtaa , makelele ndani hayaishi ,kushika simu mara ugomvi wakuamliwa namajirani nawananchi yaan loh,Ila ukifikiria juu yamtoto unaamua kuyamaliza Ila,huruma zetu wanaume zinatuponza Sana kuendelea kulea Majipu
Tegea watoto wanajiweza wanajua kujifanyia baadhi ya vitu baada ya hapo piga chini
 
Wanasema wahenga kubadirisha tabia au hulka yamtu kaka bora uambiwe uhamishe mlima"""" maana iyo ishakuwa tabia fanya decision mapema kabla ayajazidi
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Kesi nyingine ni zakupeleka Polisi. Hapo siyo kumuacha tu inatakiwa iambatane na kuwekwa selo kwa muda halafu Mahakamani
 
Pole sana jaribu kushirikisha Wazazi wa pande zote mbili na viongozi wa Dini, usiache kuleta mrejesho kila lakheri.
 
Nina situation kama ya jamaa, kwa namna nilivyokuwa nampenda wife na hasa anavyovutia nikawa naogopa nikimuacha atapata mtu alafu atabadirika alafu wanafanya mambo makubwa ya mafanikio na huyo jamaa huku jamaa akifaudu kumtafuna mke wangu, nikawa kwenye fikra za namna hiyo kwa muda mrefu sana.

Na ikawa kila akipoteza pesa nyingi sana katikati ya ugomvi eti anashika mimba, mtoto wa kwanza haikuwa hivyo, ila wapili alishika mimba katikati ya ugomvi baada ya kupoteza pesa, akazaa mtoto tunafanana sana nikaachana na ugomvi. Upuuzi wake wa kitabia kama mke wa huyu jamaa kila kitu ikiendelea kama kawaida, baada ya miaka mitatu akapoteza pesa ingine nyingi zaidi ya mwanzo hii nikaanza mpaka mchakato wa taraka sasa, sijui alinitegea au uboya wangu mwenyewe katikati ya ugomvi mkubwa akatangaza mimba tena, nikapoa akazaa, tabia zake ziko pale pale.

Wakati huo kwanza nilikuwa nasema lazima mtoto wangu akulie kwenye mazingira bora kabisa ya kifamilia, kisha ikawa watoto wangu mpaka wamefikia watatu.

Hoja nzito walizokuwa wakileta ndugu zake na yeye mwenyewe na ndugu zangu wakawa wanazisupport kwenye vikao (japo tukiwa wenyewe wanazipiga chini) ikawa ni watoto, kwamba tukiachana watoto watapata tabu, familia yetu ni nzuri sana tusiiharibu, oooh Mungu ataleta zingine na promises za wife kubadirika zote hazikusaidia HAKUBADIRIKA

siku moja nikakaa nakutafakari, kama nikifa leo watoto wangu ntawasadiaje, au mke wangu hataliwa na wanaume wengine? Na hizi mali, ambazo ni chache sana kiukweli ntaenda nazo kaburini, nikatafakari namna watu waliokulia maisha ya tabu wanavyo perform vizuri kwenye maisha na namna wake za watu wanavyogegedwa mitaani, nikafikia maamuzi BREAK IT UP.

I BROKE IT UP. nikamuachia kila kitu kinachotafutika, kila kitu, nikaondoka ,nikauhama na mji na kazi nikaacha nikasepa.

WHAT A HAPPY MAN I AM TODAY.
What about your babies?
 
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28.

Kusema kweli naipenda familia yangu na kama mwanaune najitahidi sana kuihudumia. Nyumbani kwangu tunao mabinti wawili wa kazi. Mmoja kwa ajili ya kusaidia kazi za ndani na mwingine kusaidia kulea watoto wetu mapacha wenye umri wa miaka miwili hivi sasa.

Pamoja na yote nayojitahidi kumtimizia mke wangu, yeye amekuwa mtu ambaye hatimizi majukumu yake kama mke.

Amekuwa na ile aina ya maisha ya mitandaoni, kwanza ni mtu wa kushinda sana Instagram, facebook, Watsapp, Snapchat na Jamii Forums

Katika Page zote za Umbea umbea, page za maeneo ya starehe, hoteli za hadhi hakosekani. Hana muda kabisa wa kunipikia chakula, kunifulia nguo na kazi nyingine zote wanafanya wadada wa kazi.

Nilimtafutia kazi katika kampuni fulani, alifanya kazi miezi miwili tu na kuacha maelezo yake eti mshahara ni mdogo mno ukilinganisha na elimu yake. Kumbe aliniongepea kwani ukweli ni kwamba alifukuzwa kutokana na uzembe kazini.

Sikuona tabu, nikamfungulia duka la bidhaa za nyumbani (mini-shop), lakini biashara hata ikawa haistawi, nilivyofanya uchunguzi nikaja kugundua kuwa sababu ni lugha yake mbovu kwa wateja kiasi ya kwamba ilikuwa haipiti siku bila kugombana na wateja kadhaa jambo lililofanya wateja kukimbia.

Nimechukua maamuzi mara kadhaa ya kumrudisha kwao lakini amekuwa akilia na kudai nimsamehe atajirekebisha lakini wapi, hubadilika muda mfupi na kurudi kwenye ujinga wake.

Jambo kubwa ambalo limefanya mpaka uvumilivu unishinde ni hili; Juzi kati kuna fedha Milioni mbili na nusu niliipata baada ya kuuza mazao yangu, kwa kuwa ile fedha nilipewa cash na ilikuwa siku ya Jumamosi usiku nikaazimia Jumapili baada ya kutoka Kanisani nakaiweke benki kupitia Wakala wa Fahari Huduma.

Kumbe mwenzangu aliziona, akachukua na kwenda kununua furniture, Oven, Friji na vikolombwezo vingine kwa ajili ya kumpa rafiki yake ambaye alikuwa anafanyiwa kitchen party Wiki iliyokua inafuata. Nilipomuuliza akawa akinipa stori za alufu ulela ulela. Hazina miguu wala mikono.

Nafikiri sasa nimechoka rasmi, hapo sijazungumzia masuala ya kunyimwa unyumba. Nafikiria Kutalakiana nae. Maana nahisi muda wowote naweza nikafa kwa pressure nikaacha wanangu bado wadogo.

Je , niko sahihi kwa maamuzi ya kumpa talaka nilee tu watoto mwenyewe maana sioni msaada wowote!View attachment 1094860
Pole sana mdogo wangu hapo huna mke ni kibaka aliye changamka kwa ushuri zaidi njoo pm na mengi ya kukushauli .
 
Back
Top Bottom