Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kwa kiswahili puliziHIV IS NOT A MYTH
Am not good at kiswahili πKwa kiswahili pulizi
π³π³ Jaribu kidgo tuu...Am not good at kiswahili π
Am not good kiukweli, because this yani....fck English is hard nyie π€£π³π³ Jaribu kidgo tuu...
πππππ sawa... Ushawahi kuviona vipipi ..?Am not good kiukweli, because this yani....fck English is hard nyie π€£
Nilishawahi dearπππππ sawa... Ushawahi kuviona vipipi ..?
... Vipipi vyenyewe ndo hivo...Maxence Melo mzee una kazi kubwa sana ya kusafisha hili jukwaa...
Limejaa habari nyingi sana za uongo uongo...
View attachment 2521923
NIH officials: closing treatment gaps critical to ending the U.S. HIV epidemic
Disparities in achieving HIV suppression explored in related NIH-funded study.www.nih.gov
Na kutumia je...?Nilishawahi dear
Vipipi Og au hivi vipipi vya ukimwi?Na kutumia je...?
ππππππ Og og ogVipipi Og au hivi vipipi vya ukimwi?
Niliwahi.....kuna mdada alipita home kama mmachinga anauza nikanunua nijaribu, nikaviweka jikoni ili nimalize kazi then nile vipipi tayari kwa shughuli, nikala kimoja baada ya muda nikahisi mapigo ya moyo yanaenda kasi.... nimemaliza kazi ndio naenda nikale sasa nikakuta mtoto wangu kavitupa kwenye maji....sikuchukia nilihisi kuna kitu nimeepushiwaππππππ Og og og
ππππ Uwoga tuu....Niliwahi.....kuna mdada alipita home kama mmachinga anauza nikanunua nijaribu, nikaviweka jikoni ili nimalize kazi then nile vipipi tayari kwa shughuli, nikala kimoja baada ya muda nikahisi mapigo ya moyo yanaenda kasi.... nimemaliza kazi ndio naenda nikale sasa nikakuta mtoto wangu kavitupa kwenye maji....sikuchukia nilihisi kuna kitu nimeepushiwa
Hapana....umri nao ushasogea hayo mambo nawachia wanangu sasa....mi nakaribia kujaza likizo za kustaafu πππππ Uwoga tuu....
Fanya utafite tena vipipi
Alafu ulete mrejesho huku....
Sina neno hapo.... ππππHapana....umri nao ushasogea hayo mambo nawachia wanangu sasa....mi nakaribia kujaza likizo za kustaafu π
TLD niniπππ naona umekuja kuchekesha watu tuu
MUHA weee.Hivyo vipipi wanavyouzwa na makungwi wa Insta mbona sio kama hivyo vyako?
Umepigwa braza