Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa.

Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu.

Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa na serikali wajue kua "YOU ARE NOT ALONE"

Huyu bidada anatokea nchi gani?
 
Back
Top Bottom