Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaMagoli aliyofunga yote binafsi nayaona yamesababishwa na uzembe wa kipa
Sijaona goli la skills
Watafute mara ngapi? Mbona washatafuta?Magoli 3 uzembe wa kipaaaa.
Azam wafanye watafute kipaa khaaah.
Huyu jamaa hatari..leo kwenye nusu fainali za kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano.
Singida Big Stars hapa mmelamba dume..ngoja sisi tuwasubiri akina Musonda,Bobosi na Manzoki.
Ni Wivu tuMagoli aliyofunga yote binafsi nayaona yamesababishwa na uzembe wa kipa
Sijaona goli la skills
Muongeze na huyo Kazadi kwani Singida ni kijitawi chetu tunaokote yeyote tumtakae wakati wowoteHuyu jamaa hatari..leo kwenye nusu fainali za kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano.
Singida Big Stars hapa mmelamba dume..ngoja sisi tuwasubiri akina Musonda,Bobosi na Manzoki.
kwaiyo uliwasiliana na manzoki akakuhakijishia anakuja au ni taarifa za kuzoa zoa.Bobosi katimkia kwa Biden, Manzoki wiki lililopita alikuwa anasafari ya kuja bongo
Dirisha dogo bado halijafungwa wacha tuone ila ana 85℅ za kutua unyamani
pesa kulipa ipo?Ashuke tu moja kwa moja huko Dubai