ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ubora wake unabaki pale pale na wala haufai kubezwa. Jamaa anaona ni magoli rahisi kwa sababu yamefungwa na mtu anaejua kung'amua makosa ya mabeki na kipa. Tuna maforward wengi hawana hizo akili. Kwa nafasi kama zile ungemuweka Boko angefunga magoli 3 au yote 4 lkn ungemuweka Kibu angefunga1 au asingefunga kabisaa. Kwa upande mwingine ungemuweka Mayele angefunga 3 hata yote 4 lkn ungemuweka Makambo wa sasa huwenda angefunga 1 tu. Tuache kubeza bila ya sababu kwa sababu tu mchezaji anacheza Singida UTD.Hata angefunga 10 kwa namna ile bado nisingempa recognition ya ubora
Haijalishi washambuliaji wangapi wanashindwa ku score kupitia uzembe wa Kipa bado haiondoi maana kuwa magoli ya jana yalisababishwa na uzembe wa kipa