mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kipa alicheza nani leoMagoli 3 uzembe wa kipaaaa.
Azam wafanye watafute kipaa khaaah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa alicheza nani leoMagoli 3 uzembe wa kipaaaa.
Azam wafanye watafute kipaa khaaah.
Kabla ya kukubali au kukataa, naomba kujua huyu mchezaji kasajiliwa dirisha hili dogo ama lah?Huyu jamaa hatari eo kwenye nusu fainali za Kombe la Mapinduzi amefunga goli nne za akili kubwa sana na kufanya jumla ya magoli aliyofunga kuwa tano.
Singida Big Stars hapa mmelamba dume. Ngoja sisi tuwasubiri akina Musonda, Bobosi na Manzoki.
Kuna washambuliaji kibao tu ambao hawawezi kutumia uzembe wa magolikipa. Kuweza kutumia uzembe wa mabeki au golikipa ni kipaji pia. Kufunga sio jambo rahisi hivyo mkuu. Kuna utulivi na shabaha.Magoli aliyofunga yote binafsi nayaona yamesababishwa na uzembe wa kipa
Sijaona goli la skills
Scouting ya Singida ipo vizuri, ngoja tumuone kwenye mechi zijazoYuko kwenye majaribio...anatarajiwa kusajiliwa iwapo ataonyesha kiwango bora.
Walitaka wasifunge? Ili ufungwe lazima kuwepo na udhaifu au uzembe. Ingekuwa hivyo timu zingekuwa zinatoka bila kufungana.Magoli 3 uzembe wa kipaaaa.
Azam wafanye watafute kipaa khaaah.
Ni sahihi pia kuwa wapo washambuliaji ambao wanashindwa kutumia advantage ya makosa ya kipaKuna washambuliaji kibao tu ambao hawawezi kutumia uzembe wa magolikipa. Kuweza kutumia uzembe wa mabeki au golikipa ni kipaji pia. Kufunga sio jambo rahisi hivyo mkuu. Kuna utulivi na shabaha.
Yanga waifunge Azam bao 4 uwezo wautoe wapi?Warafute mara ngapi? Mbona washatafuta?
Yale magoli angefunga Yanga, saa hii kungekuwa na nyuzi tano kwamba Yanga anahonga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa hata mwaisa mtu mbadi. Akawavushee.Tuwape tu Mwaisa Beno
Zubery sijuiKipa alicheza nani leo
Hongera zake tumempa, ila uzembe wa kipa ndo ulifanya yeye afunge, ko akikitana na kipa yuko vizurii ata suffer sana.Walitaka wasifunge? Ili ufungwe lazima kuwepo na udhaifu au uzembe. Ingekuwa hivyo timu zingekuwa zinatoka bila kufungana.
Ila magoli yote 4 afunge yeye tu?
Tumpe muda ili tupate takwimu iliyo sahihiNi sahihi pia kuwa wapo washambuliaji ambao wanashindwa kutumia advantage ya makosa ya kipa
Ila huwezi kutumia madhaifu ya kipa kama kipimo cha kujua mchezaji bora, kwasababu sio mara zote utakutana na situation hiyo hiyo kila mechi
Hata hao makipa wazuri unaowaamini hufungwa. Kumbuka wachezaji hucheza kwa ushirikiano kwahiyo suala la kufunga lipo.Hongera zake tumempa, ila uzembe wa kipa ndo ulifanya yeye afunge, ko akikitana na kipa yuko vizurii ata suffer sana.
Magori hufungwa kutokana na makosa ya safu ya ulinzi na kipa wao!!, Hakuna gori linalofungwa bila makosa!!. Kubali jamaa yuko vizuri kacheza ligi kubwa kama, Congo,Egypt na uarabuni...Ni sahihi pia kuwa wapo washambuliaji ambao wanashindwa kutumia advantage ya makosa ya kipa
Ila huwezi kutumia madhaifu ya kipa kama kipimo cha kujua mchezaji bora, kwasababu sio mara zote utakutana na situation hiyo hiyo kila mechi
Siwezi kukubali kwasababu umehusianisha vitu viwili ambavyo havina uhusianoMagori hufungwa kutokana na makosa ya safu ya ulinzi na kipa wao!!, Hakuna gori linalofungwa bila makosa!!. Kubali jamaa yuko vizuri kacheza ligi kubwa kama, Congo,Egypt na uarabuni...
Magoli mangapi ya wazi washambiliaji butu wanakosa? goli 4 kwenye mchezo mmoja bado una mashaka nae?Siwezi kukubali kwasababu umehusianisha vitu viwili ambavyo havina uhusiano
Sio kweli kuwa magoli yanafungwa kwa makosa ya makipa.
Kuna magoli huwezi kumlaumu kipa kwa kushindwa kudaka kwasbabu ukiangalia tu unaona ni uwezo binafsi wa mshambuliaji.
Kipa wa Azam kwenye goli la kwanza alipigiwa back pass na beki wake na mpira ukawa kwenye umiliki wake akiwa golini
Muda huo kuna mshanbuliaji wa Singida akawa anaenda kufanya pressing ili kumlazimisha Kipa aanzishe mpira haraka
Maamuzi ya Kipa yalikuwa ni uzembe kwasababu badala ya kupiga mpira kupasia mabeki kuanzisha shambulizi yeye akataka ustaa akawa anajaribu kumpiga chenga mshambuliaji, ambapo akapokwa mpira na goli kuingia
Huo ni uzembe wakijinga tu unaostahili kukemewa tena kwa adhabu kama ikibidi.
Google unaweza kuedit.Uki search GoogleView attachment 2474506
Hata angefunga 10 kwa namna ile bado nisingempa recognition ya uboraMagoli mangapi ya wazi washambiliaji butu wanakosa? goli 4 kwenye mchezo mmoja bado una mashaka nae?