Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Kweli aisee. Kuimba yuko vizuri ila mambo mengine dahNdio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuu
Kwenye "hauwezi kushindana" mbona kamtaja yesu.
Nimekuelewa sana mkuu.Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
Huu ndio ukweliJamaa nyimbo zake za injili ziko poa sana Audio ila video zake ziko kama Bongo fleva.
Wengine wanasema anamtumikia shetani maana kwenye nyimbo zake hajawahi taja jina la Yesu.. ipo thread humu..
Mimi nampenda sana ambone mwasonge, Mzee wa Upako, ila ninakubari kwamba hata gospel inabadirika gospel ya sasa siyo ile ya miaka ya 90 kabla ya ujio wa Makoma wakawafanya akina Rose Mhando waanze kuimba sebene la YesuKtk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
well saidNdio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuu
Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
Me napenda nyimbo zake ila kuna style fulani hivi anaongea siipendi kabisa..in short sielewi kwa nn anaongea hivo yaan mkenya si mkenya dah...apunguze
Ana nyimbo nyingi ila huu wa nipe kukumbuka wema unanibariki sana. Yani nikiusikiliza siwezi kufuru kwa kumlaumu Mungu kwa lolote aisee.
Enjoy kizazi kipya cha Gospel inayopendwa hata wasiyokuwa Wakristo
Wengi wanatafuta ela mkuu ila as long as kazi inayomletea ela inawabariki wengine hilo ndilo la muhmu
Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
Yaan sipendi kumsikiliza akiwa anaongea kwa kweliTatizo lake yupo kama dada poa
Ana ndugu zake wakenya niko nao jirani huku Kenya.
Mimi Shusho kanitoka balaa, albam yake ya mwisho kuishobokea ni ile thamani ya wokovu wangu zingine hizi naona mapichapicha tuKtk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
kabadilika sana hadi havutii tenaMimi Shusho kanitoka balaa, albam yake ya mwisho kuishobokea ni ile thamani ya wokovu wangu zingine hizi naona mapichapicha tu