Huyu kijana Goodlucky Gosbert anajua sana

Ndio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuu
Kweli aisee. Kuimba yuko vizuri ila mambo mengine dah
 
Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Mimi nampenda sana ambone mwasonge, Mzee wa Upako, ila ninakubari kwamba hata gospel inabadirika gospel ya sasa siyo ile ya miaka ya 90 kabla ya ujio wa Makoma wakawafanya akina Rose Mhando waanze kuimba sebene la Yesu
 
Ndio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuu
well said
 
Anamuimbia BWANA.....

Really?

A big lie!

Mnajiimbia wenyewe kwa enjoyment yenu wenyewe!

There must be a performer and a receiver of that performance,there is no such receiver!

Receivers ni wanadamu wanaemzunguka performer!

There is no BWANA anywhere to receive the performance!
 
Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....

Sisi tulioku na kanda za kwaya katika makuzi yetu huwezi kuta tunamtilia maanani huyu dogo,

Nyimbo za dini lazima zinakuwa mtindo fulani wa tofauti sana na miziki hii mingine.embu pima amani unayoipata baada ya kusikia wimbo wa-nakushukuru Mungu kijitonyama kkkt au mtu mkubwa mmoja by barabara ya 13 ulyankulu na huu upuuzi wa sasa!!!

Kwakweli hizi nyimbo za kisasa ni za wasasa.eti anapiga aaaaaaah.
 
Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....

Exactly!
 
Mimi Shusho kanitoka balaa, albam yake ya mwisho kuishobokea ni ile thamani ya wokovu wangu zingine hizi naona mapichapicha tu
 
Back
Top Bottom