kabadilika sana hadi havutii tena
waimbaji wa dini siku hizi wanaimba bongo flevaHaha kuna ule wimbo wake unaitwa Mimi ni muujiza kama sikosei, kuna sehemu anaimba na mdada hivi ana lishepu kama lotee halafu amevaa suruali ya jeans imembanaa basi yule dada hakuna anachofanya zaidi ya kujigeuza geuza kuonyesha shepu lake....nikiangaliaga aibu huwa naona mimi
Mkuu muogope Mungu, huwa unamkula wewe?Punga ilo
Kumuogopa mungu sio kuficha unayoyahisi/kuyajua?Mkuu muogope Mungu, huwa unamkula wewe?
Jamani kijana kuwa na macho mazuri ni kosaKumuogopa mungu sio kuficha unayoyahisi/kuyajua?
Viashiria vipo mkuu...
Lafudhi.. Sauti... Macho...
Mtindo wa maisha.
Sio mazuuri... Na hata yangekuwa mazuuru ndio unayarembua?Jamani kijana kuwa na macho mazuri ni kosa
Haha hayarembui yanarembuka yenyeweSio mazuuri... Na hata yangekuwa mazuuru ndio unayarembua?
Basi linapigwa ilo... Nkipata number tu namtafuta....Haha hayarembui yanarembuka yenyewe
Basi linapigwa ilo... Nkipata number tu namtafuta....
Ndio upendo wa agape
Hata sisi wachungaji wenu tunatafuta hrla tuHamna mlokole hapo. Anatafuta hela tu
Mkuu kwann umechagua kuwaumiza wenzako kihisia na kiroho. Utaki wabarikiwe ?Anamuimbia BWANA.....
Really?
A big lie!
Mnajiimbia wenyewe kwa enjoyment yenu wenyewe!
There must be a performer and a receiver of that performance,there is no such receiver!
Receivers ni wanadamu wanaemzunguka performer!
There is no BWANA anywhere to receive the performance!
Hivi hizi akili za kusema unapata baraka kwa kusikiliza nyimbo za gospel zimeletwa na nani ?Hamna baraka kwa kumsikiliza tapeli.
Sasa hii inatofauti gani nasi tukisema hakuna bongo flava tamu kama iliorekodiwaga na P.Funk majani iliokuwa imesheheni ujumbe na ala za kusisimua. Ila haimaanishi kwamba bongo flava ya sasa ya kina Wasafi ni nzuri sana au mbaya ni kwamba zama zimebadilika. Gospel za mistari ya bibilia sahivi hazina mvuto ndio maana tumeamia kwenye Sweet Gospel za akina Joel Lwaga, Mercy Masika, Goodluck Gosbert, Angel Benard na kiukweli zinanibamba mno japo mie ni muislam kiasili.Ktk uimbaji nawakubali watu wanaoimba kwa staili ya Upendo nkone, Martha mwaipaja, Shusho (wa zamani) na kwaya zote. Waimbaji wengi wa sasa wanazingua ktk uimbaji. Huwezi kufananisha Mabibo Lutheran, au LuLu Mtoni, Kijitonyama, AIC ( zote) na hawa wa kisasa....
Sasa jamaa ana shida gani mbona yupo smart tu mzee baba, au ulitaka avae suti za Lesi Wanyika na Tai pana kama Panga ndio awe na muonekano wa mcha mungu?Ndio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuu
Hio si ni effect ya studio, inaitwa "auto tune" inaremba sauti tu ila sometime ikizidi ndio inakera!Me napenda nyimbo zake ila kuna style fulani hivi anaongea siipendi kabisa..in short sielewi kwa nn anaongea hivo yaan mkenya si mkenya dah...apunguze
Nyimbo za kukemea dhambi kama zipi?AIMBE NYIMBO ZINAZOKEMEA DHAMBI NDO NTAMUELEWA
ILA HIZI NI KAMA BONGO FLEVA TU
To me naangalia ujumbe na staili ya uimbaji. Lengo la kuimba ni nini? Jibu lipo ktk staili unayoimbia...hivi mwangalie muimbaji anachoimba na maisha yake anayoishi.....unakuta mtu anachokiimba hakiishi ila anaburudisha tu. Nafkiri ktk misingi ya uimbaji nyimbo za kikristo siyo kuburudisha bali ni kuhubiri kupitia uimbaji.Sasa hii inatofauti gani nasi tukisema hakuna bongo flava tamu kama iliorekodiwaga na P.Funk majani iliokuwa imesheheni ujumbe na ala za kusisimua. Ila haimaanishi kwamba bongo flava ya sasa ya kina Wasafi ni nzuri sana au mbaya ni kwamba zama zimebadilika. Gospel za mistari ya bibilia sahivi hazina mvuto ndio maana tumeamia kwenye Sweet Gospel za akina Joel Lwaga, Mercy Masika, Goodluck Gosbert, Angel Benard na kiukweli zinanibamba mno japo mie ni muislam kiasili.
Sasa hao si old school, msiwasikilize wasafi basi na kina shetta kwa maana hawana nyimbo kama za nature na feruziExactly!