Huyu kijana Goodlucky Gosbert anajua sana

ndugu dunia haisimami ndugu yangu ukisimama jua utabaki peke yako kimaendeleo na kifikra #2018 hii siyo 2002
 
Ana Fanya biashara! Ana iga Sana swaga za kina diamond.. walevi kwenye bar wanazipenda sana
 
Mzee wa upako yule wa konyagi
Mimi nampenda sana ambone mwasonge, Mzee wa Upako, ila ninakubari kwamba hata gospel inabadirika gospel ya sasa siyo ile ya miaka ya 90 kabla ya ujio wa Makoma wakawafanya akina Rose Mhando waanze kuimba sebene la Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…