Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye "hauwezi kushindana" mbona kamtaja yesu.Wengine wanasema anamtumikia shetani maana kwenye nyimbo zake hajawahi taja jina la Yesu.. ipo thread humu..
Japo ata mimi ni mfuasi wa huyu bwanaa namkubali sanaaaKwenye "hauwezi kushindana" mbona kamtaja yesu.
Ana nyimbo nyingi ila huu wa nipe kukumbuka wema unanibariki sana. Yani nikiusikiliza siwezi kufuru kwa kumlaumu Mungu kwa lolote aisee.
Enjoy kizazi kipya cha Gospel inayopendwa hata wasiyokuwa Wakristo
Sitazamagi video zake huwezi amini hata hiyo video nimetafuta link nikapost tu ila sijawahi itazama coz since day 1 natazama wimbo wake wa kwanza sikupenda alivyokuwa anabinua lips na kuvuta vuta nyusi za macho. So sijawahi tazama video yake yoyote tena mimi audio tuJamaa nyimbo zake za injili ziko poa sana Audio ila video zake ziko kama Bongo fleva.
Me napenda nyimbo zake ila kuna style fulani hivi anaongea siipendi kabisa..in short sielewi kwa nn anaongea hivo yaan mkenya si mkenya dah...apunguze
Jamaa nyimbo zake za injili ziko poa sana Audio ila video zake ziko kama Bongo fleva.
Sitazamagi video zake huwezi amini hata hiyo video nimetafuta link nikapost tu ila sijawahi itazama coz since day 1 natazama wimbo wake wa kwanza sikupenda alivyokuwa anabinua lips na kuvuta vuta nyusi za macho. So sijawahi tazama video yake yoyote tena mimi audio tu
Hamna mlokole hapo. Anatafuta hela tu
AIMBE NYIMBO ZINAZOKEMEA DHAMBI NDO NTAMUELEWA
ILA HIZI NI KAMA BONGO FLEVA TU
Ndio mana Isaka akasema Sauti au audio ni ya Yakobo (Mcha Mungu)..lakini ngozi au muonekano ni wa Esau (asiyemcha Mungu)...kwa kweli utunzi na kuimba yupo talented...Tatizo lipo kwenye Haiba ya kimungu Hana kabisae...mi namshaur aachane na ladha za Bongofleva...unless ahamie huko pia nako kuna fungu nono tuuMe napenda nyimbo zake ila kuna style fulani hivi anaongea siipendi kabisa..in short sielewi kwa nn anaongea hivo yaan mkenya si mkenya dah...apunguze