Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake alikuwa anafanya kazi kama bingwa wa magojwa ya kina mama akilipwa Dola alfu 5 kwa mwezi si haba kipindi hicho.
Picha linaanza kijana alipofika ni mtu wa kujirusha madisco,bangi mademu na kila kitu,yaani haendani na rangi yake.Huku silahaa ni za kumwaga akatangaza anataka pistor,wahuni wakamuunganisha na polisi anayeongea kiswahili,mzigo ukapatikana,sasa huku wanachokifanya unaweza ukauziwa kitu kimoja mara mbili,yaani mfano unaambiwa laki 5,ukishatowa laki 5 na ukakabiziwa mzigo baada ya mda wahuni wanakuja tena kukukamata.
Hapo utatoa zaidi ya laki 5,na wanaokuchoma ni wale waliokuuzia Dogo kumbe mchezo alikuwa anaujua mzigo umepatikana akawa anawazungusha kuwalipa, Siku aliyowalipa aliwalipa usiku kesho yake alfajiri sana kama saa 11 akaondoka,jamaa wameenda kama saa 2 asubuhi nyumbani kwake kumkamata kumbe dogo kaondoka saa 11 alfajiri,sijui ile silaha mpaka leo aliingiaje nayo vipi Tanzania,kwa tafsiri yake ilikuwa ya kujilindia siyo ya kufanyia uhalifu maana yuko vizuri kwao,Ulaya kama nyumbani