Huyu kijana sitakuja kumsahau kwa alichokifanya

Huyu kijana sitakuja kumsahau kwa alichokifanya

Unadhani Kila aliye humu ni MPUMBAVU Na ZUZU Kama wewe?!

Silaha unapita nayo vipi Airport za huko Bila vibali na wao kuzi-trace taarifa zake na zako mtandaoni kabla ya kupita. Na Unaona Kama mamlaka ya viwanja vya ndevu hapa nchini kwetu Tanzania ni Mazuzu Kama wewe?!
Uwe unauliza kwanza kama hujaelewa kitu,aliyekwambia huyo mtu alishukia Airport nani? Au ndiyo umekalili hivyo? Kuna border nyingi za kuingia Tanzania kuanzia barabara anga mpaka majini
 
Uwe unauliza kwanza kama hujaelewa kitu,aliyekwambia huyo mtu alishukia Airport nani? Au ndiyo umekalili hivyo? Kuna border nyingi za kuingia Tanzania kuanzia barabara anga mpaka majini
Mlikua kwa Madiba eeh
 
Uwe unauliza kwanza kama hujaelewa kitu,aliyekwambia huyo mtu alishukia Airport nani? Au ndiyo umekalili hivyo? Kuna border nyingi za kuingia Tanzania kuanzia barabara anga mpaka majini
Itoshe tu kusema Wewe ni MPUMBAVU!

Kama mashirika ya ndege yanashusha watu kwenye boda siku hizi basi uzi huu utaungwa mkono na WAPUMBAVU wenzio.

Ni lini na wapi ndege kubwa za kimataifa zilishushaga watu boda?! Unadhani hao wazungu ni ma-bogus kama nyinyi watu weusi?! Kama huna kazi hapo kwa shemeji yako anzisha uzi uombe kazi. Humu JF kumejaa watu wenye hadhi na kila aina ya mtu. Usipoteze muda, tumia fursa usaidiwe. Shauri yako
 
Unajua Elimu yenu ya darasani ni kazi bure ambayo huwa mnageuka kuwa chawa wa CCM aliyekwambia hii stori inazungumzia uwanja wa ndege nani?hii stori inazungumzia mwaka 2004 kijana alikuwa mtanzania baba yake mchaga na mama yake mjerumani,baba yake alikuwa anaishi kwenye inchi za kiafrica zenye machafuko ambako siraha zimezaga hovyo,
Au unataka niongee kila kitu?
 
Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake alikuwa anafanya kazi kama bingwa wa magojwa ya kina mama akilipwa Dola alfu 5 kwa mwezi si haba kipindi hicho.

Picha linaanza kijana alipofika ni mtu wa kujirusha madisco,bangi mademu na kila kitu,yaani haendani na rangi yake.Huku silahaa ni za kumwaga akatangaza anataka pistor,wahuni wakamuunganisha na polisi anayeongea kiswahili,mzigo ukapatikana,sasa huku wanachokifanya unaweza ukauziwa kitu kimoja mara mbili,yaani mfano unaambiwa laki 5,ukishatowa laki 5 na ukakabiziwa mzigo baada ya mda wahuni wanakuja tena kukukamata.

Hapo utatoa zaidi ya laki 5,na wanaokuchoma ni wale waliokuuzia Dogo kumbe mchezo alikuwa anaujua mzigo umepatikana akawa anawazungusha kuwalipa, Siku aliyowalipa aliwalipa usiku kesho yake alfajiri sana kama saa 11 akaondoka,jamaa wameenda kama saa 2 asubuhi nyumbani kwake kumkamata kumbe dogo kaondoka saa 11 alfajiri,sijui ile silaha mpaka leo aliingiaje nayo vipi Tanzania,kwa tafsiri yake ilikuwa ya kujilindia siyo ya kufanyia uhalifu maana yuko vizuri kwao,Ulaya kama nyumbani
Ni nini umeandika?
 
Back
Top Bottom