Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

High level of Insanity continues. That’s highest level of stupidity Zitto and politicians of his caliber have recently continue to emerge.

Tuwapuuuze wapumbavu hawa ssmpuli ya zito smbao wameibuka ktk nchi yetu miaka ya karibuni. Mfano wa hovyo kabisa Bulembo and team.

Rais akiamua kuchoma mikorosho angeshindwa kweli?

Wana fikiria kwa kumzushia marehemu Na kutunga uongo Watanzania tutawaonea huruma Na kuwapandisha hadhi .

Sasa nimejua kwanini chadema wanamuita zito mnafiki..
 
Yule HAYAWANI tuliyemzika Chato alifanya UHALIFU mwingi dhidi ya binadamu.

Mungu alikasirishwa akaamua kumuondoa duniani ili kuinusuru Nchi yetu nzuri.

MAOVU yote yaliyofanywa na Magufuli lazima yafahamike wazi kwa watanzania wote waliopo na vizazi vijavyo.

Nashangaa mijitu kama Urojogang eti inaona kama anachafuliwa. Jiulize mbona hakuna madai kama hayo dhidi ya Nyerere au Mkapa?
 
Kwenye hili namuunga mkono zitto, ni kweli jiwe alikuwa ni mnyama na katili kweli kweli na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kumtaa haraka haraka kabla aja umiza watu wengi zaidi………………………………..

Yaani mwenyekiti wa chama na kiongozi ya sirikali anamtuma 'kibaka' kwenda kuchoma shamba la mkulima daaa
 
Kabisa mkuu!

Ndio maana baada ya kifo chake migaidi sasa inanyea debe!

Kumbe yule hayawani alikuwa analea migaidi,!

Hakika sasa tuko vizuri ndio maana hata juzi sisi mabavicha tulimpongeza sana Zitto baada ya hotuba yake mbele ya rais.
 

Ni hivi kuchoma mikorosho ni Rais kuamua tu kwa katiba yetu ya sasa. Had i kuua, kufunga, negative publicity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…