Ujinga ni kumhusisha marehemu kwenye kesi au mazungumzo yanayohitaji mtajwa kujitetea au kutoa kauli ! Tuna vilaza wengi mno kwenye Mifumo ya siasa zetu za Tanzania! Na kumbukumbu zinaonesha kuwa Zitto aliishakana kuwa hana shamba la korosho au anadhania kuwa akili zetu Watanzania ni kama zake hizo za kuungaunga?? Acha utoto Zitto 🙁