Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

Wewe una umri gani? Una mafanikio gani hapa duniani?
Fadlu alipokuja Simba alikuwa na mafanikio yapi
Msiandike tu kwa sababu vyuo vimefungwa
 
Huyu hafiki Christmas Yani kocha miaka 34 anakuja kufundisha wazee na wahuni,diara 35,zimbwe 40, mudathir 35,boka 40,baka 36,jobu 34,mzize 35 mkude 45,chama 42,aucho 43,musonda 46,azizi ki 35..
Ninyi ndiyo wale ambao bado mnaamini eti ili kuwa Prodesa ni lazima uwe na upara, na ili kuwa daktari lazima uwe na mwandiko wa kukorogwa...na ukiongozana na Polisi njiani lazima utembee ukirusharusha mikono, huku ukipiga story kwa sauti ya juu huku ukijichekesha ili watu wasije wakadhani umekamatwa.
 
Nashukuru sana Comrade Kitimoto . 🙏

Kwa mara ya kwanza kwenye hii miaka ya karibuni naona Yanga wamemuajiri kocha kijana. Ngoja tusubiri tuone maajabu yake.
 
Hiyo nayo nayo ni opinion yako
 
Baadaye msianze kusema GSM ananunua mechi.
 
Ikifika Christmas nitarudi tena hapa 😀😀
 
Kwahiyo Fadlu unafikiri atasimamia mechi ngapi za ligi kabla hajakimbia kabla ya kufukuzwa?
 
Watanzania bhana kwa sababu wazee wapo kwenye Uongozi mmeshikana masikio kuwa miaka 34 hawezi kufundisha Timu yule kocha wa aliekua anafundisha Mamelodi sasa hivi anazunguka na Timu za Waarabu ana umri gani...
 
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Tukubali wana Lunyasi Uto wana timu mzuri na ndo maana wanapata kiburi cha kuokoteza okoteza makocha. Threat kwa huyu Dogo ni CAF Champions ambayo kwa hali ya kawaida wataingia tu Makundi. Sasa hayo makundi ndo yanaweza kumwondoa lakini xmas itakuwa imeshapita. Labda tuseme pasaka.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…