Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Unasemaje 😂😂😂Na wewe ni nani muhasibu au muweka hazina
Ila tupo hapa tunasubiri utabiri wako
Unasemaje 😂😂😂Na wewe ni nani muhasibu au muweka hazina
Ila tupo hapa tunasubiri utabiri wako
Muhasibu umepatia AWAMU hii 😅😅😅Unasemaje 😂😂😂
Nipo mkuu nikithibitisha utabiri wako kwa sura ya haya 😔😂😂Upo mkuu?
Mnyama ameshazoea hili kombeTurudi kwa mnyama.
Anafanya mambo huko Kimataifani!!
Ameishia oct tena kbl ya maandamanoNa wewe ni nani muhasibu au muweka hazina
Ila tupo hapa tunasubiri utabiri wako
Vipi mzee, je mimi nitaiona krismas ya mwaka huu? Wewe ni mtabiri mkali sana. Nisaidie nielewa iwapo ni wakati mzuri wa kuanza kugawa mali kabla ya krismas!Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!
Utopolo watamfukuza.