GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unasemaje we mdogo ake SabayaGENTAMYCINE kuna popoma anakuita huku
Sabaya yupi jambaziUnasemaje we mdogo ake Sabaya
HuyohuyoSabaya yupi jambazi
Nilitaka kushangaa eti wewe ndiye uliyemleta kumbe ni Nandy!Naipenda Simba mshabiki wa damu.
Koffee Olomide naye wakutubabaisha mtu amefilisika alifikia kuletwa bongo na nandi.
Haji Manara naye msema hovyo hawezi kutusumbua.
Tuache, ishu ni bennji la ufundi tu halikujipanga.
Mwambieni Mimi ndiyo Aucho na Chama wa JamiiForums na kwamba Timiu nzima inacheza kwa 'Tempo' yangu tu Oky?GENTAMYCINE kuna popoma anakuita huku
Nandi ni mwanamke vile hata mie naweza mleta japo kazi itakuwa tofautiNilitaka kushangaa eti wewe ndiye uliyemleta kumbe ni Nandy!
Hauwezi hadi unazeeka.Nandi ni mwanamke vile hata mie naweza mleta japo kazi itakuwa tofauti
Koffi bhana eti kolo.... Kolo......k.kolo....k.olo. Ila jamaa kajisifia sana kwenye huu huu wimboNaomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa...
Hilo 'Tusi' Kubwa alilotutukana wana Simba SC kwa kuanza kutuita Kolo kisha likafuata nawe Umelisikia Mkuu wangu au?Koffi bhana eti kolo.... Kolo......k.kolo....k.olo. Ila jamaa kajisifia sana kwenye huu huu wimbo
Udi Karaha + Gongo + Mbunye tu Mkuu wangui.We jamaa sijui unatumia vileo vya aina gani!??
Huu sasa ni uchonganishi. Mbona wimbo ni kikongo? Au vipi tafsiriNaomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC
shoga atakuwaje hip hop"Liweke hapa kama kweli unafanya hip hop"