Huyu Koffi Olomide wana Simba SC tumemkosea nini hadi Kututusi Tusi la Nguoni katika Wimbo wake mpya wa Acquitte?

BASATA waufungie!
 
Huu sasa ni uchonganishi. Mbona wimbo ni kikongo? Au vipi tafsiri
Kama umeusikia tafadhali tunakuomba utuandikie hicho ulichokiskia kuanzia Sekunde ya 24 mpaka ya 36. Tutashukuru.
 
Mopao muziki anaujua,ngoma liko bomba sana
 
Tatizo ni nini? ….Afya ya akili
 
Kumama = Praise
 
Hahahaah Koffi hapo kwenye Kolo..Kumama...si angemalizia tu na "ke"
 
Vipi kwanza wimbo wenyewe una sebene lenye vibe au ndio tutaumia mara mbili kupoteza mb zetu ku download wimbo wa kipumbafu halafu tunakuta tena tumetukanwa
 
Naipenda Simba mshabiki wa damu.

Koffee Olomide naye wakutubabaisha mtu amefilisika alifikia kuletwa bongo na nandi.

Haji Manara naye msema hovyo hawezi kutusumbua.

Tuache, ishu ni bennji la ufundi tu halikujipanga.
Sasa Takadini ana nn? Tangu wagombanie bwana na kabwili na bado akakataliwa, ana gubu km kidampa wa, mbagala kizuiani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…