Huyu Konde ni hatari-hujanikomoa bonge la singeli

Huyu Konde ni hatari-hujanikomoa bonge la singeli

sasa inabidi useme "mtoa Mada anakufosi uelewe ngoma sio utusemee sisi eti anatufosi..

Hujamkomoa hata hivyo
Hiyo ngoma asimilia kubwa hawaikubali ndomaana nimeongea hivyo so why unaona inasuasua ngoma haiendi kifupi konde boy kavamia uwanja sio angewaachia tu wakina meja kunta, dulla makabila na msaga sumu.
 
asilimia hizo umezitoa wapi??
Inamaana unampangia mtu cha kufanya?
Mbona kwenye ile singeli ya moto hukusema bosi wako mondi awaachie kina meja?

Chuki itakuua wewe..
 
asilimia hizo umezitoa wapi??
Inamaana unampangia mtu cha kufanya?
Mbona kwenye ile singeli ya moto hukusema bosi wako mondi awaachie kina meja?

Chuki itakuua wewe..
Mzee baba matusi yanatoka wapi? Kwanini unapanic kiasi hichi msanii wa bongofleva kuimba singeli si kosa japo atoe ngoma Kali mbona Rama Dee katoa ngoma Kali ya singeli inaitwa mazoea na ngoma ikawa hit song tena hiyo imefunika nyimbo nyingi za singeli.Kama ni mfuatiliaji mzuri sijawahi kumsimanga Harmonize ila ukweli lazima uzungumzwe katoa ngoma ya ovyo kuanzia beat, Melody mpaka uimbaji wake kashindwa kuswich vizuri Kama ngoma ya uno niliisifia kwanini kusema kwangu ukweli kwa ngoma hii uumie au nionekane Nina chuki nae.
 
Back
Top Bottom