kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hainistui,hujanikomoa, trust me ngoma inayokuja inaitwa Haunibabaishi [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
kelphin kepph
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hainistui,hujanikomoa, trust me ngoma inayokuja inaitwa Haunibabaishi [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikiliza huo wimbo mlioutuma humu, kabla ya hapo nilikuwa simfahamu.Kumbe unamfahamu!
Hongera kwa kupata kazi Dada /kakaNimesikiliza huo wimbo mlioutuma humu, kabla ya hapo nilikuwa simfahamu.
Ila kuhusu jina lake nilishawahi kulisikia likitajwa humu.
Vipi mkuu amerudi wapiNaona konde anarudi nyuma badala ya kuendelea to the world alipoachwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kazi ya kufanya chuki hazitokutolea umasikini wakoMzee baba matusi yanatoka wapi? Kwanini unapanic kiasi hichi msanii wa bongofleva kuimba singeli si kosa japo atoe ngoma Kali mbona Rama Dee katoa ngoma Kali ya singeli inaitwa mazoea na ngoma ikawa hit song tena hiyo imefunika nyimbo nyingi za singeli.Kama ni mfuatiliaji mzuri sijawahi kumsimanga Harmonize ila ukweli lazima uzungumzwe katoa ngoma ya ovyo kuanzia beat, Melody mpaka uimbaji wake kashindwa kuswich vizuri Kama ngoma ya uno niliisifia kwanini kusema kwangu ukweli kwa ngoma hii uumie au nionekane Nina chuki nae.
huyu mmakonde ni hatare