Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Potea hapa mbele yangu.Mzee baba matusi yanatoka wapi? Kwanini unapanic kiasi hichi msanii wa bongofleva kuimba singeli si kosa japo atoe ngoma Kali mbona Rama Dee katoa ngoma Kali ya singeli inaitwa mazoea na ngoma ikawa hit song tena hiyo imefunika nyimbo nyingi za singeli.Kama ni mfuatiliaji mzuri sijawahi kumsimanga Harmonize ila ukweli lazima uzungumzwe katoa ngoma ya ovyo kuanzia beat, Melody mpaka uimbaji wake kashindwa kuswich vizuri Kama ngoma ya uno niliisifia kwanini kusema kwangu ukweli kwa ngoma hii uumie au nionekane Nina chuki nae.
Hustui wala nini...