Huyu Konde ni hatari-hujanikomoa bonge la singeli

Potea hapa mbele yangu.

Hustui wala nini...
 
Kwa level za kiuswahilini hii ni Bonge moja ya Nyimbo.
 
Toka Flowers Ep itoke nmeisahau kabisa hii singeli
 
Dogo, wakati huyo dogo mwenzio yupo wasafi ulikua bila shaka unampamba kwa maneno matamu na mshawasha na pongezi nyingi sana, nadhani hata ulikua ukimuota...ila saivi alivyojitoa naona mmebadilika kama vinyonga kila nyimbo.mbovu, nimeona uzi wako wa kumsifia mbosso, na siku mbosso akijitoa utakuja kusema nyimbo zake mbovu...UNAFIKI ni dhambi kubwa
Ngoma mbovu naona mtoa mada unatumia nguvu nyingi ili tuielewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nianze kusikiliza nyimbo ya kwanza ya Konde, sijawahi kusikia nyimbo mbovu kama hizi 2 za mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…