Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe.
Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi.
Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
 
View attachment 2671907
Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe.
Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Cgick King au Mary Brown najua hamshibi.
Nataka watu wengine twende wote Bariadi.
Kuku mgonjwa huyo, huoni ana kishingo?

Wabongo na free lunch aiseeee!
 
Tuanzie hapa🐖
 

Attachments

  • 20230618_123647.jpg
    894.5 KB · Views: 4
Usiondoke bila kusafisha nyota hapo kanadi mkuu😂😂😂
 
Katika watu wakarimu Tanzania hii nadhani Wasukuma wanaweza kuongoza, hasa ukiwa umeenda Vijijini huko usukumani kwa upande wa chakula, utakula hadi kusaza.

====
Mimi nitakuwa mchinjaji Mkuu, kwahiyo shingo yangu Chifu 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…