Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Sisi kweli ni wakarimu sana, shingo ni yako lakini mapaja, kidari, boeing(mbawa) vyote naviswaga mwenyewe!Katika watu wakarimu Tanzania hii nadhani Wasukuma wanaweza kuongoza, hasa ukiwa umeenda Vijijini huko usukumani kwa upande wa chakula, utakula hadi kusaza.
====
Mimi nitakuwa mchinjaji Mkuu, kwahiyo shingo yangu Chifu š¤Ŗ