Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Sisi kweli ni wakarimu sana, shingo ni yako lakini mapaja, kidari, boeing(mbawa) vyote naviswaga mwenyewe!Katika watu wakarimu Tanzania hii nadhani Wasukuma wanaweza kuongoza, hasa ukiwa umeenda Vijijini huko usukumani kwa upande wa chakula, utakula hadi kusaza.
====
Mimi nitakuwa mchinjaji Mkuu, kwahiyo shingo yangu Chifu 🤪
Unauza sh ngapi?View attachment 2671907
Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe.
Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi.
Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
Hahaha.......Mkuu naona unajipendelea, kwenye Kuku huwa nakula hasa Mapaja, kidari na kidogo mbawa hasa akiwa wa kuchomwa.Sisi kweli ni wakarimu sana, shingo ni yako lakini mapaja, kidari, boeing(mbawa) vyote naviswaga mwenyewe!
KFC hapo haoni ndani!Keiefsii🤣🤣🤣... Hongera jamani nimekutamania
Sio kuchi ilo, ilo kesho unalipatia pilau, au wali maua au biliani.[emoji39]View attachment 2671907