Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030 na Mbunge pekee wa Chadema katika Bunge linamohitimishwa rasmi mwezi Agosti 2025.
Kipimo kikuu cha Mwanasiasa mzuri ni dhamira safi katika kuusimamia na kuutetea ukweli. Huyu mama angeweza kusema anahamia CCM na kwa kweli wananchi wanavyompenda angeshinda jimbo la Nkasi.
Huyu mama angeweza kusema anahamia Kwa madalali wa kisiasa ACT Wazalendo au CHAUMMA na bado angekuwa na uhakika wa kushinda ingawa sina uhakika kama angetangazwa kuwa Mbunge na madhalimu CCM na Tume Huru yao feki.
Lakini katikati ya vishawishi vyote, huyu mama ameamua kuacha fedha pembeni na kusimamia kweli ili kweli na haki vimuweke huru na kutamalaki. Kweli yenyewe ni No Reforms No Election. Amekataa kugombea tena ubunge.
Hongera sana Aida Kenan. Unaweza kujiona mdogo sasa sasahivi ila amini nakwambia, kuna siku barabara na vyuo miaka ya mbeleni vitapewa jina lako kama ilivyo kina Bibi Titi Mohamed kama alama ya kukumbukwa kwako wewe na uzao wako nchini Tanzania.