Huyu kwangu ndiye Mwanasiasa Bora Mwanamke nchini Tanzania kwa sasa

Huyu kwangu ndiye Mwanasiasa Bora Mwanamke nchini Tanzania kwa sasa

Mara hii mmeshasahau kua chama kilisema hakitambui matokeo ya uchaguzi na hakina mbunge yoyote bungeni.Leo kageuka shujaa wako wakati ameshakunja mshahara wa miaka 5 na pension juu.Na ana akili kweli kwasababu hakusikiliza porojo za mbowe na lissu zakutotambua matokeo akaamua kukomaa na ubunge wake akiamini uko chamani hakuna mwenye kufikiria kesho na kipindi hicho wanachadema walimuita msaliti na ni mbunge wa magufuli ila leo unamuona shujaa.Unadhani angesikiliza ujinga wenu kipindi kile leo angekuaje?.Kama unamwona ni shujaa maana yake Kawazidi wengi wenu akili nakuijua siasa inataka nini.Kuna siku pia ambao hawakubaliani na kampeni yenu yakususia uchaguzi watakua mashujaa.Tusubiri muda.
 
Back
Top Bottom