Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
huyo ndo mwenye akili kuliko chama kizima, ukiwa wewe mwenyewe hauna akili kuwaambia watu watumie njia zisizo za kisheriaWengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030.
Kipimo kikuu cha Mwanasiasa mzuri ni dhamira safi katika kuusimamia na kuutetea ukweli. Huyu mama angeweza kusema anahamia CCM na kwa kweli wananchi wanavyompenda angeshinda jimbo la Nkasi.
Huyu mama angeweza kusema anahamia Kwa madalali wa kisiasa ACT Wazalendo au CHAUMMA na bado angekuwa na uhakika wa kushinda ingawa sina uhakika kama angetangazwa kuwa Mbunge na madhalimu CCM na Tume Huru yao feki.
Lakini katikati ya vishawishi vyote, huyu mama ameamua kuacha fedha pembeni na kusimamia kweli ili kweli na haki vimuweke huru na kutamalaki. Kweli yenyewe ni No Reforms No Election. Amekataa kugombea tena ubunge.
Hongera sana Aida Kenan. Unaweza kujiona mdogo sasa sasahivi ila amini nakwambia, kuna siku barabara na vyuo miaka ya mbeleni vitapewa jina lako kama ilivyo kina Bibi Titi Mohamed kama alama ya kukumbukwa kwako wewe na uzao wako nchini Tanzania.
View attachment 3391396
View attachment 3391397
Kweli ni mwanamke wa shoka na aheshimiwe!Wengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030 na Mbunge pekee wa Chadema katika Bunge linamohitimishwa rasmi mwezi Agosti 2025.

Aliyechagjliwa kihalali anaachia.jimbo sababu ya kukosekana reforms kina.esta matako, bulaya, na yule aliyekoswakoswa na ajali kule singida ambao hawakushinda uchaguzi bali.waliingia kwa kupoteza vizibo vyao mbiombio wanataka kushiriki uchaguzi.Wengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030 na Mbunge pekee wa Chadema katika Bunge linamohitimishwa rasmi mwezi Agosti 2025.
Kipimo kikuu cha Mwanasiasa mzuri ni dhamira safi katika kuusimamia na kuutetea ukweli. Huyu mama angeweza kusema anahamia CCM na kwa kweli wananchi wanavyompenda angeshinda jimbo la Nkasi.
Huyu mama angeweza kusema anahamia Kwa madalali wa kisiasa ACT Wazalendo au CHAUMMA na bado angekuwa na uhakika wa kushinda ingawa sina uhakika kama angetangazwa kuwa Mbunge na madhalimu CCM na Tume Huru yao feki.
Lakini katikati ya vishawishi vyote, huyu mama ameamua kuacha fedha pembeni na kusimamia kweli ili kweli na haki vimuweke huru na kutamalaki. Kweli yenyewe ni No Reforms No Election. Amekataa kugombea tena ubunge.
Hongera sana Aida Kenan. Unaweza kujiona mdogo sasa sasahivi ila amini nakwambia, kuna siku barabara na vyuo miaka ya mbeleni vitapewa jina lako kama ilivyo kina Bibi Titi Mohamed kama alama ya kukumbukwa kwako wewe na uzao wako nchini Tanzania.
View attachment 3391396
View attachment 3391397
Ameua na kumwaga damu za akina nani? Au mi ndio sijamuelewa?
Tumweke kundi moja na LissuWengine wanamtaja Samia.

Kabisa siyo kama hiki kinyago cha mpapure hapa kilichoungua na grid ya taifaWengine wanamtaja Samia.

Hapa umeshindwa vipi kuelewa?wewe ni mgeni kwenye chaguzi watu Kupotea na kuuawa?Ameua na kumwaga damu za akina nani? Au mi ndio sijamuelewa?
Kweli kabisaHawa ndiyo viongozi wanaotakiwa kubaki kuijenga CHADEMA Mpya pamoja na Makamanda wengine.
Hata Mimi huyu ni overall wa karneWengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mwaka 2020-2030 na Mbunge pekee wa Chadema katika Bunge linamohitimishwa rasmi mwezi Agosti 2025.
Kipimo kikuu cha Mwanasiasa mzuri ni dhamira safi katika kuusimamia na kuutetea ukweli. Huyu mama angeweza kusema anahamia CCM na kwa kweli wananchi wanavyompenda angeshinda jimbo la Nkasi.
Huyu mama angeweza kusema anahamia Kwa madalali wa kisiasa ACT Wazalendo au CHAUMMA na bado angekuwa na uhakika wa kushinda ingawa sina uhakika kama angetangazwa kuwa Mbunge na madhalimu CCM na Tume Huru yao feki.
Lakini katikati ya vishawishi vyote, huyu mama ameamua kuacha fedha pembeni na kusimamia kweli ili kweli na haki vimuweke huru na kutamalaki. Kweli yenyewe ni No Reforms No Election. Amekataa kugombea tena ubunge.
Hongera sana Aida Kenan. Unaweza kujiona mdogo sasa sasahivi ila amini nakwambia, kuna siku barabara na vyuo miaka ya mbeleni vitapewa jina lako kama ilivyo kina Bibi Titi Mohamed kama alama ya kukumbukwa kwako wewe na uzao wako nchini Tanzania.
View attachment 3391396
View attachment 3391397
Naunga mkono hoja. Nilimpendekeza hapa Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!Wengine wanamtaja Samia.