rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Picha ya kawaida sana ukiwa sweeming pool, acha ushamba, huwezi kuogelea na sutiWaswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
Hahahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kumbe anapambana na fans wake! Je wakisema hana kisim atawaonesha! [emoji15] [emoji15]
Na wewe ni mmoja wapo !!! Safi sana ... binafsi nikiwaambiaga watu kuwa situmii ig hawaaminiKumbe tupo wengi tusiotumia kabisa huo mtandao
Binafsi mdada kama huyu aliye bahatika kupata mtoto akitupia picha kama hii naona kama hajitambui hilo eneo kuvaa nguo kama hiyo yuko Sawa ila kuweka kwenye mtandao ndio na jiuliza, kule instagram usiumize kichwa asimia kubwa wapo kwa ajili ya kudangaWaswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
Aliolewa lini kwani??Nasikia ameachika sijui ni kweli!!!