Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
Picha ya kawaida sana ukiwa sweeming pool, acha ushamba, huwezi kuogelea na suti
 
Insta ni kama Banda la kuuza Kito moto, sasa Ustaadhi umefuata nini humo?
 
tako lote lile limeenda wapi??
au hiyo tattoo imelifyonzeamo??
 
Hakika mtu anaekupenda ndo hukuvulia nguo,kwa hiyo namshukuru sana Linnah kwa kutuvulia nguo sisi mashabaki zake. Asante Linnah kwa upendo uliotukuka. Next time vua zote maana upendo wako kwetu sisi mashabiki zako ni mkubwa sana.
 
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
Binafsi mdada kama huyu aliye bahatika kupata mtoto akitupia picha kama hii naona kama hajitambui hilo eneo kuvaa nguo kama hiyo yuko Sawa ila kuweka kwenye mtandao ndio na jiuliza, kule instagram usiumize kichwa asimia kubwa wapo kwa ajili ya kudanga
 
hawa mademu ukiwaona kwenye mitandao utasema mademu wa maana ukikutana nao hamu zote zinakata..kama hicho ki linah kibayaa afu kifupi sana.
 
lakini hata hivyo yuko kwenye bwawa la kuongelea..
 
Ule msambwanda umeenda wapi tena? Anatuhuzunisha sisi wabantu. Au kulikua kigodoro.
 
Linah ni Miongoni mwa wadada ambao nilikuea nam admire sana sana lkn alipotoa huu ugonjwa wa uchi uchi sielewi na hakika sitak kabisa kumsikia na yule Ben Pollo. Shwain kabisa
 
Back
Top Bottom