rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Picha ya kawaida sana ukiwa sweeming pool, acha ushamba, huwezi kuogelea na sutiWaswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565